Nenda kwa yaliyomo

Mkwawa (Iringa mjini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkwawa ni kata ya Manisipaa ya Iringa, Mkoa wa Iringa, Tanzania, yenye Postikodi namba 51111.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 15,320 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,673 waishio humo.[2]

Jina la kata linatunza kumbukumbu ya chifu Mkwawa aliyekuwa kiongozi wa Wahehe katika upinzani dhidi ya ukoloni wa Wajerumani.

Kata za Wilaya ya Iringa mjini - Tanzania

Gangilonga | Igumbilo | Ilala | Isakalilo | Kihesa | Kitanzini | Kitwiru | Kwakilosa | Makorongoni | Mivinjeni | Mkimbizi | Mkwawa | Mlandege | Mshindo | Mtwivila | Mwangata | Nduli | Ruaha


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkwawa (Iringa mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.