Mkoa wa Kusini (Zambia)
Mandhari

Mkoa wa Kusini (Southern Province) ni mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 2,455,000 kwenye eneo la km² 68,410. Mji mkuu ni Choma.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Livingstone na Kalomo.
Kafue na Zambezi ni mito muhimu zaidi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Livingstone
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
![]() | |
---|---|
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kusini (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |