Mkoa wa Luapula
Mandhari

Mkoa wa Luapula ni mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 1,535,000 kwenye eneo la km² 50,567. Mji mkuu ni Mansa.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Mansa na Nchelenge.
Luapula na Chambeshi ni mito muhimu zaidi.
Picha za Luapula
[hariri | hariri chanzo]-
Mumbuluma Falls
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
![]() | |
---|---|
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Luapula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |