Mkoa wa Mashariki (Zambia)
Mandhari

Mkoa wa Mashariki (Eastern Province) ni mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 2,603,000 kwenye eneo la km² 98,877. Mji mkuu ni Chipata.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Chipata, Petauke na Lundazi.
Lunsemfwa na Luangwa ndiyo mito muhimu zaidi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Luangwa Kusini
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
![]() | |
---|---|
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |