Mkoa wa Copperbelt
Mandhari

Mkoa wa Copperbelt ni mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 2,823,000 kwenye eneo la km² 31,328. Mji mkuu ni Ndola.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji mikubwa ni pamoja na Kitwe na Chingola.
Luswishi na Kafue ndiyo mito muhimu zaidi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mto Kafue
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
![]() | |
---|---|
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga | |
+/- |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Copperbelt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |