Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Lusaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa mkoa wa Lusaka katika Zambia

Mkoa wa Lusaka ni mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 3,287,000 kwenye eneo la km² 23,490. Mji mkuu ni Lusaka.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Lusaka na Luangwa.

Zambezi na Luangwa ndiyo mito muhimu zaidi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


 
Mikoa ya Zambia
Bandera ya Zambia
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lusaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.