Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kati (Zambia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa mkoa wa Kati katika Zambia

Mkoa wa Kati (Central Province) nini mmojawapo kati ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia. Una wakazi 2,422,000 kwenye eneo la km² 110,450. Mji mkuu ni Kabwe.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Kabwe na Mumbwa.

Lunsemfwa na Kafue ni mito muhimu zaidi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


 
Mikoa ya Zambia
Bandera ya Zambia
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki | Muchinga
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kati (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.