Kafue (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mto wa Kafue
Feri ya mto Kafue ndani ya hifadhi ya Kafue
Chanzo kaskazini ya Zambia karibu na mpaka wa Kongo (Kinshasa)
Mdomo mto Zambezi mpakani na Zimbabwe
Nchi Zambia, Kongo, Zimbabwe
Urefu 960 km
Kimo cha chanzo 1,350 m
Tawimito upande wa kushoto Lufupa, Mushingoshi, Lungwa
Mkondo 320 m³/s wastani
Eneo la beseni 155,000 km²
Miji mikubwa kando lake Kafue, Mazabuka

Mto Kafue ni kati ya kandomito mikubwa ya mto Zambezi una chanzo chake kwenye mpaka wa Kongo na Zambia. Urefu wa mwendo wake ni takriban kilomita 960.

Inajiunga na Zambezi karibu na mji wa Chirundu (Zimbabwe).

Ni kati ya mito mikubwa ya Zambia na maji yake husaidia sana kilimo pamoja na kutengeneza umeme.

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kafue (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.