Mjoho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mjoho
Mjoho mpweke
Mjoho mpweke
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Ericales (Mimea kama mdambi)
Familia: Ebenaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mjoho)
Jenasi: Diospyros
L.
Spishi: Zaidi ya 700

Mijoho ni miti mikubwa kiasi ya jenasi Diospyros katika familia Ebenaceae. Matunda yao huitwa majoho. Spishi kadhaa hupandwa ili kuvuna majoho, lakini spishi nyingi sana hukua misituni kwa kanda za tropiki na nusutropiki. Nyingine hukatwa ili kutumia ubao mzuri wao (abunusi), nyingine hutumiwa kwa kuvuna majoho, nyingine tena hazitumiki. Spishi nyingi hutishika na kutoweka kwa sababu zinakatwa sana au kwa sababu makazi yao yanaharibiwa.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]