Abunusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abunusi ya Diospyros ebenum

Abunusi ni jina litumikalo kwa ubao mweusi. Abunusi ya kweli ni ubao wa spishi za jenasi Diospyros, lakini aina nyingine za ubao mweusi huitwa abunusi pia mara nyingi. Jina sahihi la ubao mweusi wa Dalbergia melanoxylon ni mpingo.