Mjoho kaki
Mjoho kaki | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mjoho kaki
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mjoho kaki ni mti mkubwa kiasi ambao huzaa matunda yenye rangi ya machungwa. Majoho yana ukubwa wa chenza hadi chungwa. Mti huu ni miongoni mwa miti iliyopandwa tangu zamani sana. Asili yake ni katika Uchina.