Chenza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Machenza matawini.

Chenza ni tunda la mchenza na linafanana na chungwa dogo. Lina maji matamu na nyama.

Chenza hutupa vitamini kwenye miili yetu.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chenza kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.