Mgogwe
Mandhari
Mgogwe (Solanum betaceum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mgogwe
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mgogwe au kinyomoro (Solanum betaceum) ni mti mdogo katika familia Solanaceae. Matunda yake yanayoitwa magogwe au matunda ya damu yana vitamini na madini nyingi, vitamini A na C na chuma hasa.
Asili ya mti huu ni milima ya Andes lakini siku hizi hukuzwa katika maeneno mengi ya nusutropiki, k.m. nchini kwa Afrika Afrika Kusini, Kenya na Rwanda.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani
-
Maua na matunda machanga
-
Magogwe mtini
-
Magogwe yaliyovunwa
-
Magogwe yaliyokatwa
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mgogwe kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |