Mgogwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Solanum betaceum)
Mgogwe
(Solanum betaceum)
Mgogwe
Mgogwe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Solanales (Mimea kama mnavu)
Familia: Solanaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mnavu)
Jenasi: Solanum
L.
Spishi: S. betaceum
Cav.

Mgogwe au kinyomoro (Solanum betaceum) ni mti mdogo katika familia Solanaceae. Matunda yake yanayoitwa magogwe au matunda ya damu yana vitamini na madini nyingi, vitamini A na C na chuma hasa.

Asili ya mti huu ni milima ya Andes lakini siku hizi hukuzwa katika maeneno mengi ya nusutropiki, k.m. nchini kwa Afrika Afrika Kusini, Kenya na Rwanda.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mgogwe kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.