Mapambo ya vito
Mandhari

Mapambo ya vito ni vitu vya nakshi ambavyo huvaliwa katika mwili au hata katika nguo alizovaa mtu. Jina hilo hutumiwa kwa vitu vyovyote vilivyompamba mtu.[1]
Vinatumiwa hasa na wasichana, wanamitindo waliobobea katika fasheni, lakini wanaume pia huwa na mapambo yao.
Kazi yake
[hariri | hariri chanzo]Mapambo hayo huvaliwa kwa malengo tofauti kama vile:
Aina zake
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Oxford University Press. (2016). "Jewelry". *Oxford Reference*. https://www.oxfordreference.com/view/10.1093/oi/authority.20110803095943939
- ↑ Smith, J. (2009). *The History of Jewelry*. Thames & Hudson. Kitabu kinachochunguza maendeleo ya mapambo ya vito kutoka enzi za kale hadi sasa.
- ↑ Nwankwo, C. (2018). *African Jewelry and Its Cultural Significance*. Lagos: University of Lagos Press. Kitabu kinachofafanua historia ya mapambo ya vito katika jamii za Kiafrika.
- ↑ Pérez, M. (2005). *Cultural Jewelry and Adornment*. Routledge. Kitabu kinachofafanua historia na aina za mapambo ya vito katika tamaduni mbalimbali.
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mapambo ya vito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |