Majadiliano ya mtumiaji:XR98

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 10:55, 2 Mei 2016 (UTC)[jibu]

Asante Bwana Kipala. Mimi ni mwanagenzi hapa Kenya katika shule ya msingi na ninarudi skulini mtondo.Trunzep (majadiliano) 17:49, 2 Mei 2016 (UTC)[jibu]

Haki za usimamizi Wiktionary[hariri chanzo]

Salaam Ndugu XR98! Ndugu, ili uweze kuwa msimamizi kule Wikamusi inabidi uende hapa watakupa usimamizi wa muda tu. Ukifanya vizuri, wanaweza kukupa urasimu au usimamizi wa kudumu! Karibu sana.--MwanaharakatiLonga 07:00, 12 Novemba 2016 (UTC) [jibu]

Done! Now let's wait for their replies.. I have played my part.--MwanaharakatiLonga 09:35, 12 Novemba 2016 (UTC)[jibu]


Michango na ukabidhi[hariri chanzo]

Ndugu Trunzep, uliuliza hapo na pale na kusema unapenda kuwa mkabidhi wa sw-wkipedia au wikikamusi. Kwa sasa naona uonyeshe uwezo wako kuchangia katika kuhariri na kutunga makala. Kwa kawaida tumepokea wahariri waliochangia vema na kwa muda na hivyo walionekana wameelewa kazi. Naona wewe ni Mkenya na kwa kweli tunakosa makala nyingi sana kuhusu mambo ya Kenya. Nitafurahia kuona michango yako. Naona hadi sasa umechangia 3,4 katika wikikamusi na pia kidogo katika wikipedia. Nitafurahi sana kuona jinsi unavyoendelea. Fanya tu, baadaye tuongee kuhusu mengine. Kipala (majadiliano) 12:14, 12 Novemba 2016 (UTC)[jibu]

Tafsiri[hariri chanzo]

Tafadhali, ndugu, ukitaka kuchangia Wikipedia ya Kiswahili usitegemee kifaa cha kutafsiria. Afadhali maneno 10 yanayoeleweka kuliko kurasa nyingi za Kiswenglish kama huu juu ya Vera. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:57, 17 Novemba 2016 (UTC)[jibu]

Kuhusu hayo Riccardo, nafanya marekebisho makubwa mathalan nimeona mashine hiyo si 'accurate'. Asante kwa kuniarifu.-- Trunzep (majadiliano) 08:18, 17 Novemba 2016 (UTC)[jibu]

Majimbo ya Uchaguzi / Maeneo bunge[hariri chanzo]

Asante kwa kuingiza data mpya kuhusu jimbo la Limuru. Je, unaweza kufanya vilevile kwa majimbo mengine? Pia nina swali: huko Kenya mnasemaje zaidi: jimbo la uchaguzi au eneo bunge? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:38, 4 Machi 2019 (UTC)[jibu]

Asante tena kwa jibu lako. Nafurahi kusikia wewe ni mwanafunzi wa kidato cha 3 kama wachangiaji wengi wa Wikipedia kutoka sekondari ninayoiangoza huku Morogoro. Msonge mbele, mtupokee sisi wazee katika kuendeleza elimu kwa Kiswahili! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:04, 7 Aprili 2019 (UTC)[jibu]