Majadiliano ya mtumiaji:It'zDJPerez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Na ukitaka kupata uzoefu kwanza wa kuweza kuhariri wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Hapo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uumbaji wa makala za wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Hapo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko 2: kamwe lete matini kutoka tovuti nyingine wala picha kutoka tovuti za nje. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate etc.) nor copied texts/images from other webs to this site!

Kipala (majadiliano) 10:55, 2 Mei 2016 (UTC)

Asante[hariri chanzo]

Asante Bwana Kipala. Mimi ni mwanagenzi hapa Kenya katika shule ya msingi na ninarudi skulini mtondo.Trunzep (majadiliano) 17:49, 2 Mei 2016 (UTC)

Haki za usimamizi Wiktionary[hariri chanzo]

Salaam Ndugu It'zDJPerez! Ndugu, ili uweze kuwa msimamizi kule Wikamusi inabidi uende hapa watakupa usimamizi wa muda tu. Ukifanya vizuri, wanaweza kukupa urasimu au usimamizi wa kudumu! Karibu sana.--MwanaharakatiLonga 07:00, 12 Novemba 2016 (UTC)

Done! Now let's wait for their replies.. I have played my part.--MwanaharakatiLonga 09:35, 12 Novemba 2016 (UTC)


Michango na ukabidhi[hariri chanzo]

Ndugu Trunzep, uliuliza hapo na pale na kusema unapenda kuwa mkabidhi wa sw-wkipedia au wikikamusi. Kwa sasa naona uonyeshe uwezo wako kuchangia katika kuhariri na kutunga makala. Kwa kawaida tumepokea wahariri waliochangia vema na kwa muda na hivyo walionekana wameelewa kazi. Naona wewe ni Mkenya na kwa kweli tunakosa makala nyingi sana kuhusu mambo ya Kenya. Nitafurahia kuona michango yako. Naona hadi sasa umechangia 3,4 katika wikikamusi na pia kidogo katika wikipedia. Nitafurahi sana kuona jinsi unavyoendelea. Fanya tu, baadaye tuongee kuhusu mengine. Kipala (majadiliano) 12:14, 12 Novemba 2016 (UTC)

Tafsiri[hariri chanzo]

Tafadhali, ndugu, ukitaka kuchangia Wikipedia ya Kiswahili usitegemee kifaa cha kutafsiria. Afadhali maneno 10 yanayoeleweka kuliko kurasa nyingi za Kiswenglish kama huu juu ya Vera. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:57, 17 Novemba 2016 (UTC)

Kuhusu hayo Riccardo, nafanya marekebisho makubwa mathalan nimeona mashine hiyo si 'accurate'. Asante kwa kuniarifu.-- Trunzep (majadiliano) 08:18, 17 Novemba 2016 (UTC)