Majadiliano ya mtumiaji:Roja26

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 09:03, 19 Juni 2021 (UTC)[jibu]

Kuhusu Vyanzo[hariri chanzo]

Salamu Roja26, tazama tena katika makala yako ya 'Isabel Nkavadeka' kama utakua umetoa makala katika lugha ya kiingereza inafaa sana kucopy pamoja na marejeo yake, lakini katika mfumo wa Wikipedia ya Kiswahili hauwezi kuchukua link za makala ya wikipedia ya Kiingereza na kuja kuiweka kama marejeo katika wikipedia ya Kiswahili,Amani sana Idd ninga (majadiliano)

Mbon ndy maelekezo tuliopewa ndugu Roja26 (majadiliano) 04:45, 29 Juni 2021 (UTC)[jibu]

Umakini katika vyanzo[hariri chanzo]

Tazama makala unazoanzisha, kuna makosa yanaendelea hasa katika vyanzo unavyoweka, vyanzo vinavyotokana na link za Wikipedia ya Kiingereza havitakiwa katika Wikipedia ya Kiswahili,sikiliza kwa makini maelezo ya wale wanaokuelekeza namna ya kuweka vyanzo kwa sababu kama anaekuelekeza ni mjuzi wa Wikipedia ya Kiswahili hawezi kukushauri utumie link za wikipedia ya Kiingereza kama marejeo katika Wikipedia ya Kiswahili, fungua makala kadhaa uzitazame namna vyanzo vinavyoonekana au wasiliana upya na anaekupa maelekezo ya namna ya kutumia Wikipeida ya Kiswahili,vyema zaidi kurekebisha makala zilizopo kabla ya kuanza makala mpya,Amani sana Idd ninga (majadiliano)

Makala bila vyanzo[hariri chanzo]

Habari ndugu, hongera kwa kazi ya kuendelea kuchangia makala za Kiswahili, lakini pia naomba nikuase kuwa zingatia uwekaji wa vyanzo katika makala zako, vyanzo kutoka wikipedia nyingine sio sahihi. Amani kwako Czeus25 Masele (majadiliano) 09:53, 3 Agosti 2021 (UTC)[jibu]

Maboresho[hariri chanzo]

Ndugu, asante kwa michango yako. Nakuomba sasa uangalie nilivyoboresha ile ya mwisho kusudi ufanye vizuri zaidi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:44, 21 Novemba 2021 (UTC)[jibu]

Ndugu, badala ya kujifunza, umejaribu kuharibu maboresho yangu. Ni lazima jamii zisiwe pana mno kama "Japani". Mambo mangapi yanaweza kuingia humo? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:40, 21 Novemba 2021 (UTC)[jibu]
Kwa nini hupendi kuelekezwa bali huwa unarudia makosa yaleyale kama vile kutumia vyanzo vya Wikipedia ya Kiingereza? Mwisho tutapaswa kukuzuia! Jifunze kama tulivyofanya sisi! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:08, 23 Novemba 2021 (UTC)[jibu]
Kwa kuwa unaendelea kutunga kurasa zenye kichwa cha Kiingereza na mada ya Kiswenglish, nakuzuia kwanza kwa siku tatu. Tena kurasa nyingine si mpya, ila wewe huoni kwa sababu hutafsiri hata kichwa... Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:22, 10 Aprili 2022 (UTC)[jibu]