Majadiliano ya mtumiaji:Perijove

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 18:44, 24 Novemba 2009 (UTC)

Kutoonyesha jina[hariri chanzo]

Salaam Perijove, nisipokosei wewe umeandika mara kwa mara bila kujiandikisha. Maana naona

  • mchango kwenye "Wikipedia:Jumuia‎; 15:24 . . (+50) . . 41.220.242.190 (Majadiliano | zuia) (→Kiswahili Wikipedia Challenge) " ilitokea anwani ya IP 41.220.242.190 pia ilikuwa na jina lako katika fomati isiyosomeka mara moja
  • michango mingi ya leo ya masahihishao ya "Satyagraha" pis zinaonyesha anwani ya IP ileile ya 41.220.242.190
  • Ukipenda kushiriki katika mashindano sharti uingie katika akaunti yako kila safari ukifungua wikipedia! Bila hatua ii michnago yako hayatambuliki. Soma tena Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili)#Kuingia yaani sehemu ya tatu hasa!

Wasalaam --Kipala (majadiliano) 15:57, 13 Januari 2010 (UTC)


Sasa nifanye nini?[hariri chanzo]

Asante kwa ujumbe wako. Ni leo tu ambapo nimeweza kuusoma na ningependa kujua nitafanya nini kuhusu michango yangu.

Nilikuwa nimeandika makala mengi bila kuingia rasmi katika akaunti yangu na naogopa kuwa kazi hiyo yote haitatambulika.

--Perijove (majadiliano) 12:06, 21 Januari 2010 (UTC)

Usijali. Mimi nitakuwa shahidi wako katika hili. Nitafuatilia na kukutilia mipointi usijali. Kifupi, hata makala zako nitazi-judge mimi! Kiswahili chako na makala zako ni za hali ya juu sana. Hivyo pongezi kwako!--MwanaharakatiLonga 12:22, 21 Januari 2010 (UTC)

Chenjerai Hove[hariri chanzo]

Dear Perijove, Apologies for writing in English. Are you the photographer of Chenjerai Hove, https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Chenjerai_Hove.jpg ? If so, would you consider uploading to Wikimedia Commons? Vysotsky (majadiliano) 13:10, 14 Julai 2015 (UTC)