Majadiliano ya mtumiaji:MrWaxwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Makala za Umoja wa Kisovyeti[hariri chanzo]

Naona umetunga makala kadhaa kuhusu wanasiasa wa Umoja wa Kisovyeti. Asante sana, ni michango muhimu! Ombi muhimu: kabla ya kutunga makala, tafadhali fanya utafiti na kuangalia kama kuna maudhui tayari! Hii inasaidia tusiwe na makala maradufu, hasa kwa majina kutoka lugha za kigeni ambako alfaveti inaweza kutafsiriwa kwa njia tofauti , kama ni Kirusi, Kiaranbu au hata Kifaransa, Kihispania na kadhalika, ambako alama za nyongeza zinaweza kuandikwa kwa namna tofauti. Mfano katika makala zako za Gorbachev (mimi niliwahi kuandika jina hili kama "Gorbachov") na kadhalika jina la nchi haiunganishwa kwa sababu ulitunga umbo tofauti. Jina kama Gorbachov / Gornbachev linaweza kutumiwa kandokando kwa kutumia kielekezi cha "redirect". Kuweka viungo vya ndani ni muhiumu kwa wasomaji wetu, ila hapa tunahitaja kutazamiana kati ya waandishi jinsi tunavyotaja mambo. Kipala (majadiliano) 17:33, 7 Agosti 2020 (UTC)

Nikihariri makala ya Gorbachov nimepitilia lugha. Naona umetumia google translate na kuimwaga moja kwa moja. Hii haifanya kazi kwetu, haitakiwi, tumeipiga marufuku! Matokeo ni mabaya. Naomba usirudie. Je wewe ni msemaji wa kiasili wa Kiswahili? Ukihitaji ushauri, tuwasiliane tu!Kipala (majadiliano) 17:52, 7 Agosti 2020 (UTC)

Hi MrWaxwell I don`t know if you have read this above, and I am not sure if you understand Kiswahili, so let me write in English. Above I thanked you for starting articles on politicians which are important. I also noted that you used text which you obtained from google-translate. This is not allowed on this wikipedia (see above the welcome message). Reason is that the results are bad. Yesterday I spent more than half hour to correct the language in the Gorbachev-entry you uploaded, and I did not finish.
I see today that you uploaded Kim Jon-Il, which is again nearly unaltered google-translate. Because I do not know if you usually read this page of yours (you did not react), I block you now for one day and hope that this will help you to look at this page. You should not continue uploading content from google translate (of course everybody is free to use any way to translate texts). For any questions, please contact me via my talk page or straight on the talk page, or here. Kipala (majadiliano) 08:57, 8 Agosti 2020 (UTC)
If you don't know Kiswahili, let you publish only stubs which follow about the same pattern. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:54, 8 Agosti 2020 (UTC)
I just see you were also blocked on afwiki and thwiki (https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:CentralAuth?target=MrWaxwell) for the same reason. I guess you like to help these smaller wikipedias but posting just computer translations is not helpful because it results (depending on language) in bad and faulty articles. Sometimes they can just not be understood (which discourages our eaders) and often the computer translation result is just wrong, even saying the opposite. Try to talk to us, you can still write here even during block. Kipala (majadiliano) 13:44, 8 Agosti 2020 (UTC)

Blocked and warned for continued upload of unchecked computer translations[hariri chanzo]

I block you now for 2 weeks. You have continued to upload unchecked computer translations; example: in the Norodom Sihamoni article you claim that the father Sihanuk was abducted (he abdicated). You are requested to communicate and say openly if you know any Swahili. -- Kama hujui huwezi kuendelea maana unaleta habari zisizo sahihi na kutupa kazi ya ziada. You can continue to use this space here. Kipala (majadiliano) 11:24, 13 Agosti 2020 (UTC)

Welcome again[hariri chanzo]

I hope you have understood the reasons of your two weeks block. I propose again that you translate only stubs which follow the same pattern. It's possible also to you who don't know Kiswahili. Please, note my changes to your stubs: many times they are the same and can show how to do in order to reduce the need of corrections. Thank you. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:24, 1 Septemba 2020 (UTC)

I understood you don't know Swahili, but now I am asking me if you do understand English because you don't answer anything. On the contrary, you go on doing as usual, without considering our observations. Please, let you answer... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:19, 3 Septemba 2020 (UTC)
Why don't you answer anything? Why don't you see how we have every time to correct your contributions at the same way? Why cannot yo, for instance, add {{mbegu-mwanasiasa}} in your pages? Peace to you, mysterious contributor! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:54, 13 Septemba 2020 (UTC)