Majadiliano ya mtumiaji:Millikan Henry

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Usifanye haraka mno!![hariri chanzo]

Miilikan habari zako, Asante kwa michango naomba kuanzia sasa usifanye tena harakaharaka kwanza maliza kazi. Nilipitia Apollo 11. Niliwaeleza kabla ya kuandika ni muhimu angalia yafutayo:

  • kuangalia kama makala yenyewe iko tayari wka lugha nyingine (hapo unatafuta jamii husika na kaungala makala zilizopo tayari)
  • kuchungulia makala mengine juu ya mada za karibu na kuangalia zinatumia lugha gani (hapo hujafanya hivyo hukujua NASA ni nini (si jumuiya ya wataalamu), au chombo kinaitwaje (chombo cha angani)
  • kutafuta kawaida (fomati ya tarehe ni 11 Januari 2009, si Januari 11 2009 ambayo si Kiswahili tena haileti matokeo

Pia ni lazima kila makala iwe na

  • jamii (nimeweka 1 kwa Apollo 11)
  • viungo kwa lugha nyingine (yaani hapo Apollo 11 kwa makala ya Kiingereza)
  • kutaja vyanzo na marejeo (hii nafasi nimekuachia. Angalia katika makala ya Kiingereza au penginepo!

Nd Millikan Henry, salaam. Naona unaleta mkala mapya karibu sana. Ila tu usisahau kupanga kila makala mpya

  1. kwenye jamii zake
  2. kuiunganisha kwenye interwiki yaani upande wa kshoto chini baada ya kuhifadhi mara ya kwanza nenda kwa "Lugha" - "Add links", andika dirisha ya juu "enwiki" , halafu andika jina la makala ya Kiingereza inayohusu. Hii ni lazima.

Wasalaam Kipala (majadiliano) 19:55, 25 Aprili 2018 (UTC)[jibu]

Sherehe!!![hariri chanzo]

Angalia hatua aliyoifikisha Ndugu Riccardo: Matukio ya hivi karibuni. Sherehe!!! --Baba Tabita (majadiliano) 10:10, 17 Machi 2018 (UTC)[jibu]

Salaam nilitoa nyongeza ulizoweka katika makala ya penati. Sijawahi kuona neno hili kwa Kiswahili nje ya habari za michezo. Kama nimekosea naomba lete mfano halafu ujisikie huru kurudisha michango yako katika makala. Kipala (majadiliano) 08:46, 16 Julai 2018 (UTC)[jibu]

Document your culture with Wiki Loves Love 2019 and win exciting prizes![hariri chanzo]

Please help translate to your language

Africa has many beautiful festivals, ceremonies and celebrations of love and we need your help to document these! They are the core part of African culture and in order to make sure this way of life followed by our ancestors remain among us, we need to have them online to make sure they are preserved. Join hands with Wiki Loves Love that aims to document and spread how love is expressed in all cultures via different rituals, celebrations and festivals and have a chance to win exciting prizes!! While uploading, please add your country code in the Wikimedia Commons upload wizard. If you want to organize an on-site Wiki Loves Love event, then contact our international team! For more information, check out our project page on Wikimedia Commons.

There are several prizes to grab. Hope to see you spreading love this February with Wiki Loves Love!

Imagine...The sum of all love!

Wiki Loves Love team 07:34, 4 Februari 2019 (UTC)

Google translate?[hariri chanzo]

Habari Millikan, nimeshangaa makala za Avanti Air na Eurowings. je unatumia Google Translate? Yaani kuna sentensi bila maana au kinyume cha hali halisi. Naomba usiendelee vile.

Hi Millikan, I am not sure how good your Swahili is. I wondered about your entries Avanti Air and Eurowings. You have some sentences which are nonsense or he opposite of the facts. Did you use google translate? If so, please stop it if you cannot understand it clearly! Kipala (majadiliano) 11:37, 25 Machi 2019 (UTC)[jibu]

Community Insights Survey[hariri chanzo]

RMaung (WMF) 00:47, 7 Septemba 2019 (UTC)[jibu]

Reminder: Community Insights Survey[hariri chanzo]

RMaung (WMF) 18:56, 20 Septemba 2019 (UTC)[jibu]

Reminder: Community Insights Survey[hariri chanzo]

RMaung (WMF) 15:11, 4 Oktoba 2019 (UTC)[jibu]

Alfagems Secondary School wikipedia Club[hariri chanzo]

Habari, Tafadhali ongeza marejeo katika makala zako Bugatti Veyron Super Sport, Carlos Valdes. Pia usitumie Google translator katika kutafasiri makala zako. Asante MagoTech Tanzania 12:33, 18 Februari 2020 (UTC)


Tangazo[hariri chanzo]

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 19:29, 5 Aprili 2020 (UTC)[jibu]