Carlos Valdes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Carlos Valdes
Carlos Valdes

Carlos David Valdes (amezaliwa Aprili 20, 1989) ni muigizaji na mwimbaji wa nchini Marekani. Anajulikana sana kwa kucheza uhusika wa Cisco Ramon / Vibe pia kwenye filamu ya The Flash na vipindi vingine vinavyohusiana na mfulululizo wa sinema wa Arrowverse.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Valdes alizaliwa katika mkoa wa Cali, nchini Colombia lakini alilelewa mjini Miami, Florida akiwa na umri wa miaka 5, kisha akahamia tena Marietta, Georgia akiwa na umri wa miaka 12.

Alisoma katika Chuo Kikuu cha Michigan na waigizaji wenzake kutoka kikundi cha maonyesho cha StarKid Productions, na aliandika wimbo wake mwaka 2009 ulioitwa ''Me and My Dick'' .

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Valdes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.