The Flash

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lebo ya televisheni ya The Flash

The Flash ni mfululizo wa televisheni ya Marekani zilizotengenezwa na Greg Berlanti, Andrew Kreisberg, na Geoff Johns, inaonyeshwa kwenye kituo cha televisheni cha The CW. Imetengenezwa na jumuia ya DC , Barry Allen / Flash, ambaye ni mpiganaji wa uhalifu na uwezo wa kukimbia kwa kasi.

Mfululizo ifuatavyo Allen, ameigiza kama Grant Gustin, mchunguzi wa eneo wa uhalifu ambao anapata nguvu za ajabu ambazo ni za kukimbia kwa kasi, ambayo anatumia kupambana na wahalifu, ikiwa ni pamoja na wengine ambao pia walipata nguvu za ajabu. Pamoja na hayo kimekuwa kipindi chenye mafundisho juu ya kutenda mema.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Flash kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.