Majadiliano ya mtumiaji:Kandyzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 05:04, 16 Desemba 2009 (UTC)

Picha za Wikipedia[hariri chanzo]

Hi, thank you for uploading new pictures to the Wikipedia! Your contributions are appreciated. As far as uploading pictures is concerned, there has to be a copyright permission for each picture. Right now we are just adding copyright tags ourselves, but in the future we will have to start deleting unlabeled pictures, as is done on the other wikipedias. Please use the "Licensing" box on the Upload page, even though some of the material is not properly translated into Kiswahili yet. Please let me or another administrator know if you have any questions. Thank you. --Mr Accountable (majadiliano) 01:49, 9 Januari 2010 (UTC)

Hi, please check these new guidelines: Msaada:Picha. Cheers! --Mr Accountable (majadiliano) 10:17, 11 Januari 2010 (UTC)

Hongera[hariri chanzo]

Salam, Kandyzo! Nimeona makala zako nyingi za watu wa masuala ya mpira. Ninasema tena hongera! Lakini pia nimeona mara kadhaa hauweki kitu kama INTERWIKI. Interwiki ni viungo vya makala unayoiandika kwenda katika Wikipedia nyinginezo kama vile Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa, Kihispania, na kadhalika. Viungo hivyo huwekwa mwishoni kabisa mwa makala vikiwa sawa na jina la makala - mfano:

[[en:Steve Tilson]] - hiyo en: ni msimbo wa lugha ya Kiingereza. Misimbo mengine kama makala ipo kwa lugha ya Kijerumani na wengineo ni [[de:JINA LA MAKALA]], [[es:JINA LA MAKALA]], [[fr:JINA LA MAKALA]], [[tr:JINA LA MAKALA]]

Mifumo hiyo siyo lazima wewe uanze kufiria, la. Ukichukua makala kutoka Wikipedia ya Kiingereza, basi yenyewe mwishoni inakuwa na interwiki kwa chini. Siyo lazima uunge kwenda Wikipedia nyinginezo - hata ukiunga kwenda Kiingereza, basi maroboti yatakuja na kuunganisha makala hiyo kwenda Wikipedia nyingine. Kingine, si utaratibu wa kuacha kuandika kichwa cha makala. Mfano: makala ya Steve hukuandika chochote mwanzoni, badala yake umeaika katika sehemu ya HISTORIA. Hii si format ya Wikipedia! Kila la kheri na ahsante! Wako,--MwanaharakatiLonga 08:12, 19 Januari 2010 (UTC)

Muundo wa makala[hariri chanzo]

Ndugu, unaanza kuandika makala bila kuweka maelezo ya mwanzo kabisa ya makala - badala yake, unayaandika kwenye "WASIFU" au "HISTORIA". Ndugu, huu si utaratibu na mpangilio/muundo wa makala za kamusi elezo ya wikipedia. Kila makala inabidi iandikwe kama jinsi inavyotakiwa. Mfano:

LaShawn Merritt (amezaliwa 27 Juni, 1986) ni mwanariadha kutoka nchini Marekani, ambaye amebobea katika mbio za mita 400.

Halafu tena hizo JAMII. Sio lazima kuweka rundo la jamii kama jinsi unavyofanya, la. Unaweza kuweka jamii tu kama vile Jamii:Wanariadha wa Marekani, Waliozaliwa... Watu Walio Hai, basi. Wanariadha wa nchi fulani inatosha - kuliko kujaza mijamii kibaoooo ambao haina hata mwelekeo. Jitahidi ufuate hivi ndugu. Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 17:21, 21 Januari 2010 (UTC)

makala zihitajizo habari[hariri chanzo]

Ndugu Kandyzo, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia orodha ya makala bila jamii. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya Henri Fayol, mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia mabadiliko niliyoyaingiza utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha {{DEFAULTSORT}} kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. [[Jamii:Waliozaliwa 1841]]) na ya kufariki (k.m. [[Jamii:Waliofariki 1925]]). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha {{mbegu-mtu}} (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. [[en:Henri Fayol]]) ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. [[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]) pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:59, 2 Februari 2010 (UTC)

Kenyan Wikipedian Stories[hariri chanzo]

Hi!

My name is Victor Grigas and I'm a storyteller with the Wikimedia Foundation in San Francisco. I'm chronicling the inspiring stories of the Wikipedia community from around the world. Stories are critical to inform and inspire the general public to support the Wikipedia movement by donating their money or to become volunteers themselves.

After seeing this inspiring story about Kenya's very own Gabriel Nderitu -

http://newsfeed.time.com/2010/10/26/kenyan-man-builds-airplane-in-yard-based-mostly-on-wikipedia-entries/

and hearing about the 'Project for Kenyan Schools', I thought that it might be fruitful to plan a trip to Kenya to interview Kenyan Wikipedians face-to-face.

I would need to confirm that I have at least 15 people to speak with who may have interesting stories about Wikipedia to make the trip worth the money. If needed, I could hire a translator. My understanding is that iHub in Nairobi hosts Wiki-meetups once a month. It may be feasible to attend a meetup there and interview people individually after that?

Please let me know what you think, I would very much like the opportunity to represent Wikimedia Kenya in the fundraiser this year.

I am sending this message to everyone I can reach at Wikimedia Kenya. Please let me know if there is a more formalized process to reach people.

Thank you for your time,

Victor Grigas

user:Victorgrigas

vgrigas@wikimedia.org

Vgrigas (majadiliano) 21:01, 2 Aprili 2012 (UTC)