Henri Fayol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henri Fayol

Henri Fayol (Istanbul, 29 Julai 1841Paris, 19 Novemba 1925) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Ufaransa. Amejulikana hasa kwa kueleza nadharia ya utawala wa uchumi. Aliandika kuhusu nadharia hiyo katika kitabu chake cha "Administration Industrielle et Générale" kilichochapishwa mwaka wa 1916.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Fayol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.