Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Innocent Cosmas Msoka

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Edward ambele (majadiliano) 09:41, 15 Julai 2024 (UTC)[jibu]

Kupitia masahihisho

[hariri chanzo]

Ndugu, hongera kwa juhudi zako. Maendeleo yapo, ila naomba upitie mabadiliko ya makala zako kwa sababu unarudiarudia makosa yaleyale nami nalazimika kurudiarudia masahihisho yaleyale. Ningekuwa na muda zaidi ningeboresha zaidi lakini naishia kufanya yaliyo muhimu zaidi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:03, 17 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]

Ndugu, naomba katika jamii ya hao wanabaiskeli wa Italia, badala ya jamii:wanamichezo wa Italia, sasa tuandike jamii:waendeshabaiskeli wa Italia kwa sababu wamekuwa wengi mno na bado mnawaongeza. Hongera na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:15, 27 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]
Sawa sawa Nitarekebisha hilo, Ahsante sana kwa Hongera na Hongera na Ahsante sana kwa maelekezo naahidi kuzingatia hilo! Amani iwe kwako pia! 41.89.10.241 13:24, 27 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]
Salamu Cosmas,Tafadhali pitia maandiko yako, bado kuna makosa ya tafsiri yanayotokea, na makosa hayo yanaharibu maana katika tafsiri sanifu ya KIswahili,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 14:19, 30 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]

Kupitia masahihisho

[hariri chanzo]

Habari ndugu @Innocent Cosmas Msoka nakukumbusha kuendelea kupitia masahihisho ya makala zako yanayo fanywa na wahariri wengine ili kuepuka kurudia makosa yaleyale. Wakabidhi hatuna mda mrefu wa kupitia makala hizi. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano) 14:08, 31 Oktoba 2024 (UTC)[jibu]