Majadiliano ya mtumiaji:Eddie Ogyner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 23:21, 7 Aprili 2021 (UTC)

Ndugu, kamusi ipi inasema "discografia"? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:00, 23 Aprili 2021 (UTC)

Riccardo Riccioni huku Kenya twatumia Discografia. Japo ni utohozi, it still retains the original form discography. Hata hivyo, iwapo neno hilo lina k, sina neno kaka. NakuPenda 11:21, 24 Aprili 2021 (UTC)

Asante kwa jibu lako. Kitu kikubwa katika Wiki ya Kiswahili, ukiona mwingine amebadilisha maandishi yako, usiyarudishe bila kujadiliana naye kwanza. Hatujazoea vita vya uhariri. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:02, 24 Aprili 2021 (UTC)
Nashukuru. NakuPenda 11:21, 24 Aprili 2021 (UTC)

Habari, ukipenda unaweza kuwezesha "Email this user" ukiingia katika settings za akaunti ya Wikipedia. Anwani yako haitaonekana, lakini kila mwanawikipedia anaweza kukuandikia kupitia seva ya wikipedia. Kipala (majadiliano) 11:09, 7 Mei 2021 (UTC)

Sawa, asante. NakuPenda 12:12, 7 Mei 2021 (UTC)