Mtumiaji:Eddie Ogyner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Yanayonihusu[hariri | hariri chanzo]

My closeup photo
Picha yangu nilipojiunga na Wikipedia (Aprili 2021)

Mzawa wa Kenya, nilijiunga na Wikipedia Machi 2021 na ni mmoja wa wahariri wa Wikipedia ya Kiingereza.

Eddie Ogyner portrait
Picha yangu mnamo 2020

Uhalisia wangu[hariri | hariri chanzo]

Kiuhalisia, mimi ni mwanafunzi wa Shahada ya Awali katika Uhandisi wa programu huku Kenya. Napenda kusoma na pia ninao uwezo wa kuchora.

Picha yangu 2020

Hapa Wikipedia[hariri | hariri chanzo]

Licha ya kujiunga na jamii ya Wikipedia awali, nilijiunga na Wikipedia ya Kiswahili hivi karibuni. Iwapo ungetaka kuona kurasa ambazo nimezihariri au kuzichapisha hapa Wiki ya Kiswahili, bonyeza kiungo hichi.