Majadiliano ya mtumiaji:Dennis Johnson Mlokozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER

  • post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages.

As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Dennis Johnson Mlokozi ni mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 na anasoma katika shule ya upili Alfagems na pia ni mwanachama mmojawapo wa Wikipedia.Dennis alizaliwa tarehe 15 Mei mwaka 2002 katika hospitali ya rufaa ya Tumbi iliyopo katika wilaya ya Kibaha mjini mkoa wa Pwani.Dennis ni mtoto wazazi wawili ambao ni Chagua Ally na Johnson Mlokozi pia Dennis alikulia katika kata ya Mlandizi katika wilaya ya Kibaha vijijini.Dennis alianza elimu yake katika shule ya awali ya Mtakatifu Antonia wa Padua mwaka 2006 na mwaka 2008 alianza shule ya msingi katika shule ya Fransalian na alisoma hapo mpaka 2010 na kwenda katika shule ya msingi Sakana lakini alisoma mwaka mmoja tu na kuhamia shule ya msingi ya Mtakatifu Yohane Bosco mwaka 2011 hadi 2015 ambapo Dennis alihitumu darasa la saba.Mwaka 2016 alijiunga na shule ya upili Alfagems akiwa kidato cha kwanza na kwa sasa bado anaedelea na masomo shuleni.Matarijio ya Dennis ni kuwa daktari wa moyo na analipenda sana somo la Biologia ili aweze kutimiza ndoto za baadae.

Share your experience and feedback as a Wikimedian in this global survey[hariri chanzo]

  1. This survey is primarily meant to get feedback on the Wikimedia Foundation's current work, not long-term strategy.
  2. Legal stuff: No purchase necessary. Must be the age of majority to participate. Sponsored by the Wikimedia Foundation located at 149 New Montgomery, San Francisco, CA, USA, 94105. Ends January 31, 2017. Void where prohibited. Click here for contest rules.

Your feedback matters: Final reminder to take the global Wikimedia survey[hariri chanzo]

(‘’Sorry to write in English’’)

Kirikou and the Sorceress[hariri chanzo]

Salaam, Hongera na makala ya Kirikou! Sasa labda nikuwekee angalizo kwa baadaye. Majina ya filamu hayatafsiri japo kwa Kirikou ulibahatika kuiona ya Kiswahili. Sasa nyenginezo utahitajika kuzileta kwa majina yake halisi. Karibu sana na nikupongeze kwa juhudi zako.--MwanaharakatiLonga 11:53, 5 Novemba 2017 (UTC) [reply]

Kidudu mtu[hariri chanzo]

Dennis salaam. Nilisoma makala yako kuhusu kidudu mtu na shauku. Tafadhali andika maelezo zaidi kuhusu mdudu huyu na usisahau jina lake la kisayansi. ChriKo (majadiliano) 21:30, 17 Novemba 2017 (UTC)[reply]

Kidudu Mtu[hariri chanzo]

Salaam, mimi ningependa mnisaidie mdudu mtu kwa kiingereza na jina lake la kibiologia

Sherehe!!![hariri chanzo]

Angalia hatua aliyoifikisha Ndugu Riccardo: Matukio ya hivi karibuni. Sherehe!!! --Baba Tabita (majadiliano) 10:08, 17 Machi 2018 (UTC)[reply]