Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Byera04

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

CaliBen (majadiliano) 09:03, 6 Mei 2021 (UTC)[jibu]

Miji ya Uganda

[hariri chanzo]

Tafadhali, chini ya makala za aina hii, bandika kama ifuatavyo: ==Marejeo== {{reflist}} {{mbegu-jio-Uganda}} [[Jamii:Miji ya Uganda]] [[Jamii:Wilaya ya Amuru]] [[Jamii:Africa Wiki Challenge 2021 in Tanzania]] Bila shaka, kama si wilaya ya Amuru, baadaye badilisha jina la wilaya katika jamii! Asante sana kwa ushirikiano. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:09, 23 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Kwa nini unaondoa {{reflist}} ? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:58, 24 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Kuhakiki Mbadiliko

[hariri chanzo]

Ni vyema kuhakiki mabadiliko kabla ya kuchapisha makala yako, hii itasaidia sana kugundua baadhi ya maneno ya kiingereza yaliyobakia katika makala unayotafsiri,Amani Sana Idd ninga (majadiliano)

Vyanzo Vya Kiingereza

[hariri chanzo]

Salamu Byera,Kumbuka kwamba katika uandishi wa Makala za Wikipedia, vyanzo vya vinazvyotokana na Makala ya Wikipedia ya Kiingereza haivuruhusiwi katika Wikipedia ya Kiswahili,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 09:58, 17 Machi 2022 (UTC)[jibu]

Usisahau interwiki

[hariri chanzo]

Ndugu uansahau mara kwa mara kuweka link za interwiki. Tafadhali ufuate maelekezo hapa: Msaada:Interwiki. Sasa usitunge makala mpya. Rudi na usahihishe makala zako zote! Kipala (majadiliano) 15:52, 9 Septemba 2022 (UTC)[jibu]