Matokeo ya utafutaji
Mandhari
- adili la nguvu linalohitajika ili tusiogope tishio lolote wala kuzuiwa na pingamizi lolote kwenye njia ya wokovu: “Kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu”...18 KB (maneno 2,465) - 11:27, 26 Mei 2023
- ya mwili na ya nafsi, mbali ya maadili na maisha ya kiroho. Ndiyo sababu dini mbalimbali zinahimiza kudhibiti tamaa na kuishi kwa adili la kiasi. Ufukara...574 bytes (maneno 54) - 11:00, 9 Julai 2024
- dhidi ya adili lolote, hawezi kuwa na busara yenye msimamo, kwa sababu utashi wake umepotoka kuhusu lengo kuu. Ni lazima tumpende Mungu kuliko nafsi yetu...13 KB (maneno 1,688) - 11:32, 26 Mei 2023
- za Nafsi za Kimungu ni uweza, hekima na upendo. Basi, kwa usafi kamili roho inazidi kuwa na nguvu, mwanga na upendo. Ndipo panapoonekana hasa adili hilo...11 KB (maneno 1,497) - 20:39, 13 Agosti 2024
- tunampenda jirani kama nafsi yetu. Hivyo haki inamtazama jirani kama mtu mwingine, wakati upendo unamtazama kama mimi mwingine. Adili la haki linaheshimu...17 KB (maneno 2,170) - 18:51, 3 Oktoba 2023
- Ushujaa wa adili la nguvu unadhihirishwa hasa na kifodini kinachovumiliwa ili kutetea ukweli wa imani au adili fulani. Nje ya kifodini, adili la nguvu na...22 KB (maneno 3,071) - 11:43, 26 Mei 2023
- Tumaini ni hali ya nafsi yenye matarajio mema kuhusu mambo yajayo. Katika dini tumaini linatokana hasa na imani katika wema wa Mwenyezi Mungu. Ukristo...24 KB (maneno 3,316) - 12:19, 7 Mei 2023
- Upendo ni neno linalotumika kwa maana mbalimbali kuanzia hali ya nafsi ya binadamu hadi kwa Mungu. Linatokana na kitenzi "kupenda" na kufanana na pendo...62 KB (maneno 9,080) - 13:06, 16 Mei 2024
- Kwa madhehebu karibu yote ya Kikristo, Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana. “Pendo...34 KB (maneno 4,636) - 13:38, 2 Juni 2023
- kuepushana na shari. Hilo linafanana na upendo ambao katika Ukristo ndio adili kuu kuliko yote: Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina...7 KB (maneno 982) - 09:26, 7 Februari 2024
- katika nafsi tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Imani hiyo inatakiwa kutekelezwa katika maadili maalumu yanayotegemea hasa upendo ambao ndio adili kuu...18 KB (maneno 2,527) - 08:41, 2 Julai 2024
- kimaumbile na ukosefu wake kimaadili. Ndizo zinazomdai anyenyekee kama adili la msingi. Unyenyekevu unahimizwa katika Agano la Kale (Mith 3:34) na zaidi...28 KB (maneno 3,902) - 11:23, 26 Mei 2023
- aliona jamii ijengwe juu ya mtu binafsi, halafu Ayn Rand alitetea umimi kama adili la kijamii ambalo ni mzizi wa maendeleo. Jacques Maritain alipinga hoja...6 KB (maneno 743) - 07:42, 16 Agosti 2020
- ukweli. Kadiri ya Mtume Paulo imani ikifuatana na tumaini na upendo ni adili kuu mojawapo, msingi, mzizi na chanzo cha wokovu. Hayo matatu yanaitwa maadili...26 KB (maneno 3,442) - 07:09, 2 Julai 2023
- Karibu wote wanakubali Utatu Mtakatifu, yaani kwamba milele yote Mungu ni nafsi tatu zenye umoja kamili: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Ni kwa jina lao...63 KB (maneno 8,116) - 02:57, 29 Aprili 2024
- ukweli mkuu, wala si ukamilifu wa utashi wetu kuhusu wema mkuu, ila ni adili linaloshinda hofu tu ili tuzidi kufuata njia nyofu hata kwenye shida na...38 KB (maneno 5,131) - 21:12, 25 Desemba 2021
- tusipokuwa nayo hatuwezi kufanya kitu kwa wokovu. Hapo ujasiri utasaidia adili la nguvu kutawala hofu ya kihisi. Vilevile upole utairatibu hasira itokane...7 KB (maneno 1,001) - 10:34, 22 Februari 2022
- kila siku, anifuate. Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake ataiangamiza, na mtu atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu ndiye atakayeisalimisha. Kwa...23 KB (maneno 3,398) - 13:32, 19 Februari 2022
- kuwa, tukumbuke kwamba tokeo lake kuu ni kustawisha upendo, ambao ndio adili linalotakiwa kukua zaidi ndani yao, na kwamba upendo wa kidugu ndio dalili...41 KB (maneno 5,994) - 11:43, 20 Mei 2024
- dhambi (ya asili na za binafsi), lakini linadumu ndani ya utashi wetu, na adili la upendo linaliinua upya tumpende Mungu kama asili ya neema kuliko tunavyojipenda...8 KB (maneno 949) - 20:55, 19 Juni 2024