Chansela (kiongozi) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q373085 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Chansella''' ([[Kijerumani]]: "Kanzler") ni cheo cha mkuu wa [[serikali]], lakini si mkuu wa dola, katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Hapa inafanana na cheo cha [[waziri mkuu]].
'''Chansella''' (kwa [[Kijerumani]]: "Kanzler") ni [[cheo]] cha mkuu wa [[serikali]], lakini si mkuu wa dola, katika [[Ujerumani]] na [[Austria]]. Kinafanana na cheo cha [[waziri mkuu]].


Menginevyo neno hili limemaanisha vyeo mbalimbali vya ngazi tofauti. Asili ya neno ni [[Kilatini]] "cancellarius" la kumtaja mtu mwenye ofisi aliyewajibika kutoa vyeti rasmi. Wakati mwingine neno lilimtaja mwandishi tu. Lakini lilitumika pia kwa ajili ya cheo cha "Mwandishi Mkuu" kilichoweza kufanana na "Katibu Mkuu" kwa Kiswahili yaani msimamizi wa kazi ya utawala.
Vinginevyo [[neno]] hili limemaanisha vyeo mbalimbali vya ngazi tofauti. Asili ya neno ni [[Kilatini]] "cancellarius" la kumtaja mtu mwenye [[ofisi]] aliyewajibika kutoa vyeti rasmi. Wakati mwingine neno lilimtaja [[mwandishi]] tu. Lakini lilitumika pia kwa ajili ya cheo cha "Mwandishi Mkuu" kilichoweza kufanana na "Katibu Mkuu" kwa [[Kiswahili]] yaani msimamizi wa kazi ya utawala.


Katika nchi za [[Ujerumani]] na [[Austria]] ni cheo cha mkuu wa serikali. [[Uswisi]] linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.
Katika nchi za [[Ujerumani]] na [[Austria]] ni cheo cha mkuu wa serikali. [[Uswisi]] linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.


Huko [[Uingereza]] chansella ni cheo cha waziri ya fedha ("Chancellor of the Exchequer") pia cheo cha afisa mkuu wa bunge ("Lord Chancellor") ambaye ni mwenyekiti wa nyumba ya juu bungeni.
Huko [[Uingereza]] chansella ni cheo cha [[waziri wa fedha]] ("Chancellor of the Exchequer") pia cheo cha [[afisa]] mkuu wa [[bunge]] ("Lord Chancellor") ambaye ni mwenyekiti wa nyumba ya juu bungeni.


Cheo cha chansella kinapatikana kimataifa pia kwenye '''vyuo vikuu''' vya nchi mbalimbali likimtaja ama mkuu wa chuo au mkuu wa utawala wa chuo. Katika nchi kadhaa za Afrika rais wa taifa amejipatia au kupatiwa cheo cha chansella wa chuo kikuu. Katika nchi hizi -jinsi ilivyokuwa nchini Kenya hadi mwaka 2003- mkuu halisi wa chuo alikuwa na cheo cha makamu wa chansella.
Cheo cha chansella kinapatikana kimataifa pia kwenye '''vyuo vikuu''' vya nchi mbalimbali likimtaja ama [[mkuu wa chuo]] au mkuu wa utawala wa chuo. Katika nchi kadhaa za [[Afrika]] [[rais]] wa [[taifa]] amejipatia au kupatiwa cheo cha chansella wa chuo kikuu. Katika nchi hizi -jinsi ilivyokuwa nchini [[Kenya]] hadi mwaka 2003- mkuu halisi wa chuo alikuwa na cheo cha makamu wa chansella.


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==
* [[Machansela wa Austria]]
* [[Machansela wa Austria]]
* [[Machansela wa Ujerumani]]
* [[Machansela wa Ujerumani]]



[[Category:Cheo]]
[[Category:Cheo]]

Pitio la 12:23, 8 Desemba 2016

Chansella (kwa Kijerumani: "Kanzler") ni cheo cha mkuu wa serikali, lakini si mkuu wa dola, katika Ujerumani na Austria. Kinafanana na cheo cha waziri mkuu.

Vinginevyo neno hili limemaanisha vyeo mbalimbali vya ngazi tofauti. Asili ya neno ni Kilatini "cancellarius" la kumtaja mtu mwenye ofisi aliyewajibika kutoa vyeti rasmi. Wakati mwingine neno lilimtaja mwandishi tu. Lakini lilitumika pia kwa ajili ya cheo cha "Mwandishi Mkuu" kilichoweza kufanana na "Katibu Mkuu" kwa Kiswahili yaani msimamizi wa kazi ya utawala.

Katika nchi za Ujerumani na Austria ni cheo cha mkuu wa serikali. Uswisi linamaanisha Katibu Mkuu wa ofisi ya serikali.

Huko Uingereza chansella ni cheo cha waziri wa fedha ("Chancellor of the Exchequer") pia cheo cha afisa mkuu wa bunge ("Lord Chancellor") ambaye ni mwenyekiti wa nyumba ya juu bungeni.

Cheo cha chansella kinapatikana kimataifa pia kwenye vyuo vikuu vya nchi mbalimbali likimtaja ama mkuu wa chuo au mkuu wa utawala wa chuo. Katika nchi kadhaa za Afrika rais wa taifa amejipatia au kupatiwa cheo cha chansella wa chuo kikuu. Katika nchi hizi -jinsi ilivyokuwa nchini Kenya hadi mwaka 2003- mkuu halisi wa chuo alikuwa na cheo cha makamu wa chansella.

Tazama pia