Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11: Mstari 11:
Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile [[parokia]] [[Kanisa Katoliki|katoliki]] ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.
Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile [[parokia]] [[Kanisa Katoliki|katoliki]] ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.

Kijiji asili kilikua sana baada ya serikali juanza kujenga bwawa la Mtera na kulazimisha watu walioishi bondeni na pembezoni mwamkondo wa mto Ruaha wasogee. Wazee wa kwanza walioshi katikamitaa miwili ya Migoli na Makonge walikuwa Maulidi Ndilwa, Nyakunga, Simili Magomba, Paulo Magomba, Madekedeke, Kinyaga pamoja na familia zao.
Kijiji asili kilikua sana baada ya serikali juanza kujenga bwawa la Mtera na kulazimisha watu walioishi bondeni na pembezoni mwamkondo wa mto Ruaha wasogee ikiwa ni misaka ya 1980. Wazee wa kwanza walioshi katikamitaa miwili ya Migoli na Makonge walikuwa Maulidi Ndilwa, Nyakunga, Simili Magomba, Paulo Magomba, Madekedeke, Kinyaga pamoja na familia zao.

Tangu kuanzishwa kwa Bwawa la Mtera na kijiji cha Migoli, shughuli ya uvuvi iliikikuza sana kijiji cha Migoli kwa kuwa Migoli imekuwa mahali pa biashara yaani watu kutoka makambini(makazi yasiyo rasmi ya uvuvi) walikuwa wakiuzia samaki kwenys kijiji cha Migoli. Hata hivyo wafanyabiashara wa samaki wamekitumia kijiji cha Migoli kuwa sehemu yao ya kufikia kabla ya kwenda kwenda kwenya makambi. Makambi yanayokitegemea kijiji cha migoli ni Nyegere, Mabati, Mapere Mengi, Mandela, Kilamba kitali, Changalawe namengine mengi

Pitio la 05:48, 26 Januari 2012

Migoli ni mji mdogo wa Mkoa wa Iringa nchini Tanzania, kwenye mita 700 juu ya usawa wa bahari.

Unapatikana kando ya Bwawa la Mtera ambako wakazi wengi hutegemeza maisha yao katika uvuvi.

Eneo hili lina rutuba lakini mvua ni chache (kwa kawaida haifikii mm. 300 kwa mwaka), hivyo wakazi hawajishughulishi sana na kilimo, hivyo wananunua nafaka kutoka sehemu ambazo zinalimwa kwa wingi, kama vile Ismani tarafani na Mtamba Dodoma.

Kumbe ni eneo maarufu kwa ufugaji, hasa wa ng'ombe na mbuzi, wanaostawi katika mbuga isiyo na malale.

Eneo hili, ambapo inapita barabara kuu ya Afrika kutoka Misri hadi Afrika Kusini (ingawa sehemu hii kati ya Dodoma na Iringa haijatiwa lami), ni endelevu hasa ukilinganishwa na vijiji vingine vya nchi ya Tanzania, kwa kuwa una huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali na wananchi wenyewe.

Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile parokia katoliki ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.