Stadi za maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Stadi za maisha''' ni maarifa yanayotarajiwa kumsaidia mtu kuishi vema<ref>{{cite report |url=https://apps.who.int/iris/handle/10665/63552 |title=Life Skills Education for Children and Adolescents in Schools |publisher=[[World Health Organization]] |access-date=29 December 2020}}</ref> .
{{vyanzo}}

'''Stadi za maisha''' ni maarifa yanayotarajiwa kumsaidia mtu kuishi vema.


==Ufafanuzi==
==Ufafanuzi==
Mstari 10: Mstari 8:
Haina maana ya kwamba mtu mwenye [[umri]] mdogo, kwa sababu ya kuwa na uzoefu mdogo wa kimaisha, basi anapaswa kukosa [[busara]] na hekima za kumwezesha yeye kuishi vizuri.
Haina maana ya kwamba mtu mwenye [[umri]] mdogo, kwa sababu ya kuwa na uzoefu mdogo wa kimaisha, basi anapaswa kukosa [[busara]] na hekima za kumwezesha yeye kuishi vizuri.


[[Mtoto]] au [[kijana]] anaweza kuwa na hekima kama ya [[mzee]] kwa kujifunza stadi za maisha ambazo ni kama zifuatazo:
[[Mtoto]] au [[kijana]] anaweza kuwa na hekima kama ya [[mzee]] kwa kujifunza stadi za maisha ambazo ni kama zifuatazo<ref>{{cite web|archive-url=https://web.archive.org/web/20110513044119/https://casel.org/why-it-matters/what-is-sel/skills-competencies|url=https://casel.org/why-it-matters/what-is-sel/skills-competencies|title=Skills & Competencies - CASEL|archive-date=13 May 2011|access-date=10 June 2018}}</ref>:
# Stadi binafsi
# Stadi binafsi
# Stadi za kijamii
# Stadi za kijamii
# Stadi za maamuzi sahihi
# Stadi za maamuzi sahihi<ref name="UNICEF 2012">
{{cite web
| url = https://evaluationreports.unicef.org/GetDocument?fileID=242
| title = Global evaluation of life skills education programmes
| date = 17 November 2016
| website = unicef.org
| publisher = United Nations Children’s Fund
| location = New York
| pages = 8–9
| type = Evaluation Report
| access-date = 29 December 2020
}}
</ref>


==Stadi binafsi==
==Stadi binafsi==
Mstari 38: Mstari 48:


===Familia zetu===
===Familia zetu===
Hapa tunajifunza na kuiga vitu kutoka kwa [[wazazi]] au nd[[u]]gu zetu kwa sababu tunaishi nao kwa muda mreefu, hususani katika kipindi cha ukuaji wetu ambacho ndicho kipindi [[Kichwa|vichwa]] vyetu vinapodaka na kukariri mambo mengi.
Hapa tunajifunza na kuiga vitu kutoka kwa [[wazazi]] au [[ndugu]] zetu kwa sababu tunaishi nao kwa muda mreefu, hususani katika kipindi cha ukuaji wetu ambacho ndicho kipindi [[Kichwa|vichwa]] vyetu vinapodaka na kukariri mambo mengi<ref>{{Cite book | doi=10.4135/9781412958479.n53|chapter = Behavioral parent training|title = Encyclopedia of Human Relationships|year = 2009|last1 = Prinz|first1 = Ron| isbn=9781412958462}}</ref>.


===Taasisi za kielimu===
===Taasisi za kielimu===
Mstari 49: Mstari 59:
[[Imani]] tofautitofauti zimekuwa zikitoa mafunzo mengi ya kidini ambayo yamekuwa yakihusika katika kuwajenga waumini wake. Kwa mfano imani ya [[Kikristo]] imekuwa ikifundisha juu ya [[amri]] kuu ya [[upendo]], kitu ambacho ni stadi muhimu inayowezesha mtu kuishi vizuri na watu katika jamii yake.
[[Imani]] tofautitofauti zimekuwa zikitoa mafunzo mengi ya kidini ambayo yamekuwa yakihusika katika kuwajenga waumini wake. Kwa mfano imani ya [[Kikristo]] imekuwa ikifundisha juu ya [[amri]] kuu ya [[upendo]], kitu ambacho ni stadi muhimu inayowezesha mtu kuishi vizuri na watu katika jamii yake.


==Marejeo==
* [https://elguide.cc People Skills & Self-Management (free online guide)], Alliances for Psychosocial Advancements in Living: Communication Connections (APAL-CC)
* [https://books.google.com/books?id=zPiVUHdeJ-gC Reaching Your Potential: Personal and Professional Development, 4th Edition]
* {{cite book|author=Andrew J. DuBrin|title=Human Relations for Career and Personal Success: Concepts, Applications, and Skills|url=https://books.google.com/books?id=a7B5CwAAQBAJ|year=2016|publisher=Pearson Education|isbn=978-0-13-413171-9}}
* [http://files.eric.ed.gov/fulltext/ED049353.pdf Life Skills: A Course in Applied Problem Solving.], Saskatchewan NewStart Inc., First Ave and River Street East, Prince Albert, Saskatchewan, Canada.
{{mbegu-utamaduni}}
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Elimu jamii]]

Pitio la 13:24, 31 Mei 2021

Stadi za maisha ni maarifa yanayotarajiwa kumsaidia mtu kuishi vema[1] .

Ufafanuzi

Maisha ni muambatano wa muda pamoja na matukio, hivyo ni muhimu kufahamu kuwa muda unavyozidi kwenda ndipo kiumbehai kinapopata nafasi ya kupita katika matukio mbalimbali yaliyo mazuri na mabaya, amayo yote huhitaji hekima na maarifa katika kuyapitia hususan yaliyo mabaya.

Kuna msemo wa lugha ya Kiswahili unaosema kuwa "Kuishi kwingi ni kuona mengi": maana halisi ni kuwa mtu aliyemtangulia mwenzake kiumri anakuwa na uzoefu mkubwa sana kwa sababu mambo ambayo amekwisha kuyaona ni mengi katika kuishi kwake. Kupitia uzoefu huo ndivyo mtu huyo anapata mbinu nyingi za kumwezesha yeye kukabiliana na nyakati zote katika maisha yake.

Haina maana ya kwamba mtu mwenye umri mdogo, kwa sababu ya kuwa na uzoefu mdogo wa kimaisha, basi anapaswa kukosa busara na hekima za kumwezesha yeye kuishi vizuri.

Mtoto au kijana anaweza kuwa na hekima kama ya mzee kwa kujifunza stadi za maisha ambazo ni kama zifuatazo[2]:

  1. Stadi binafsi
  2. Stadi za kijamii
  3. Stadi za maamuzi sahihi[3]

Stadi binafsi

Hizi ni mbinu au kanuni ambazo zinamwezesha mhusika kuwa na uwezo mkubwa wa kujitambua, kwanza kiundani zaidi, kwa maana ya hisia, uwezo, madhaifu na nafasi yake katika jamii. Stadi binafsi ni muhimU sana kwa sababu zinamwezesha mhusika huyo kujijengea hali ya kujiamini kutokana na kuitambua thamani yake katika jamii inayomzunguka.

Ili kuwa bora katika stadi binafsi mhusika anapaswa kuwa na uwezo katika vitu vifuatavyo: kujitambua, kutambua mahitaji na kuweka malengo katika maisha.

Stadi za kijamii

Hizi ni stadi ambazo humjenga na kumwezesha mhusika kujua naamna ya kuishi na watu kwa upendo na amani na kujenga ushirikiano ulio bora. Vifuatavyo ni vipengele muhimu ambavyo vinamthibitisha mtu kuwa stadi za kijamii:

  1. uwezo wa kujenga mahusiano mazuri na watu wanaomzunguka
  2. uwezo wa kujitawala kifikra na kuepuka misukumo hasi
  3. uwezo wa kutambua na kujihusisha katika kusaidia changamoto za wanajamii
  4. mawasiliano mazuri

Stadi za maamuzi sahihi

Hizi ni stadi ambazo zinamwezesha mhusika kufanya maamuzi sahihi wakati wa changamoto na yanapotokea machaguo mengi. Kama ilivyo katika stadi nyingine hizi pia zina kanuni ambazo ndizo msingi wa kupatikana kwa maamuzi sahihi, nazo ni kama ifuatavyo.

  1. mawazo chanya
  2. ubunifu wa kimawazo
  3. maono ya mbeleni
  4. uwezo wa kufanya maamuzi

Vyanzo vya stadi za maisha

Watu hujifunza/kuiga stadi za maisha katika sehemu, makundi au watu mbalimbali ila sehemu au vitu ambavyo ndio msingi wa stadi za maisha ni hizi zifuatazo.

Familia zetu

Hapa tunajifunza na kuiga vitu kutoka kwa wazazi au ndugu zetu kwa sababu tunaishi nao kwa muda mreefu, hususani katika kipindi cha ukuaji wetu ambacho ndicho kipindi vichwa vyetu vinapodaka na kukariri mambo mengi[4].

Taasisi za kielimu

Hapa mara nyingi ni kupitia maarifa tunayopata kwa kufundishwa na wakufunzi hususadi shuleni, vyuoni na kadhalika.

Jamii zetu

Tofauti na familia kuna kundi jingine kubwa ambalo linatuzunguka, hivyo lenyewe pia lina mchango katika kutujenga kifikra na kuendeleza stadi zetu za kimaisha.

Imani/Dini

Imani tofautitofauti zimekuwa zikitoa mafunzo mengi ya kidini ambayo yamekuwa yakihusika katika kuwajenga waumini wake. Kwa mfano imani ya Kikristo imekuwa ikifundisha juu ya amri kuu ya upendo, kitu ambacho ni stadi muhimu inayowezesha mtu kuishi vizuri na watu katika jamii yake.

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stadi za maisha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Life Skills Education for Children and Adolescents in Schools (Ripoti). World Health Organization. Iliwekwa mnamo 29 December 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Skills & Competencies - CASEL". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 May 2011. Iliwekwa mnamo 10 June 2018.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Global evaluation of life skills education programmes". unicef.org (Evaluation Report). New York: United Nations Children’s Fund. 17 November 2016. ku. 8–9. Iliwekwa mnamo 29 December 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Prinz, Ron (2009). "Behavioral parent training". Encyclopedia of Human Relationships. ISBN 9781412958462. doi:10.4135/9781412958479.n53.