Philip Isdor Mpango : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Philip Isdor Mpango''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]].
'''Philip Isdor Mpango''' (amezaliwa katika [[wilaya ya Buhigwe]], [[Mkoa wa Kigoma]], [[14 Julai]] [[1957]]) ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]].


Aliteuliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] kwa [[Uteuzi wa rais]] [[John Magufuli]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]] <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>, halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini [[tarehe]] [[30 Machi]] [[2021]] aliteuliwa kuwa [[Makamu wa Rais]] wa Jamhuri ya Muungano.
Aliteuliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] kwa [[Uteuzi wa rais]] [[John Magufuli]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]] <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>, halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini [[tarehe]] [[30 Machi]] [[2021]] aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa [[Makamu wa Rais]] wa Jamhuri ya Muungano<ref>https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dk-philip-mpango-ni-nani--3342068</ref>.


==Marejeo==
==Marejeo==
<references/>
<references/>
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
{{BD|1957|}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]

Pitio la 12:03, 30 Machi 2021

Philip Isdor Mpango (amezaliwa katika wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma, 14 Julai 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.

Aliteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa rais John Magufuli kwa miaka 20152020 [1], halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini tarehe 30 Machi 2021 aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano[2].

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/dk-philip-mpango-ni-nani--3342068