Konrad wa Parzham : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Konrad wa Parzham [[O.F.M. Cap.]]''' ni jina la kitawa la Yohane Birndorfer, ambaye alizaliwa [[Bad Griesbach]], [[Passau]], [[Ufalme wa Bavaria]], leo nchini [[Ujerumani]] mwaka [[1818]], akafariki [[Altötting]], Bavaria, [[1894]].
'''Konrad wa Parzham [[O.F.M. Cap.]]''' ni [[jina la kitawa]] la Yohane Birndorfer ([[Bad Griesbach]], [[Passau]], [[Ufalme wa Bavaria]], leo nchini [[Ujerumani]], [[1818]] - [[Altötting]], Bavaria, [[1894]]) alikuwa [[bruda]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]] na kufanya [[kazi]] ya [[bawabu]] kwenye [[patakatifu]] pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.

Alikuwa [[bruda]] wa shirika la [[Wakapuchini]] na kufanya kazi ya [[bawabu]] kwenye [[patakatifu]] pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.


Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] mwaka [[1930]] na [[mtakatifu]] mwaka [[1934]].
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] mwaka [[1930]] na [[mtakatifu]] mwaka [[1934]].

[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[21 Aprili]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.


==Tazama pia==
==Tazama pia==
Mstari 16: Mstari 16:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Saint Conrad of Parzham}}
{{commonscat|Saint Conrad of Parzham}}

{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

[[Category:Waliozaliwa 1818]]
[[Category:Waliozaliwa 1818]]
[[Category:Waliofariki 1894]]
[[Category:Waliofariki 1894]]

Pitio la 06:34, 15 Januari 2021

Konrad wa Parzham O.F.M. Cap. ni jina la kitawa la Yohane Birndorfer (Bad Griesbach, Passau, Ufalme wa Bavaria, leo nchini Ujerumani, 1818 - Altötting, Bavaria, 1894) alikuwa bruda wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na kufanya kazi ya bawabu kwenye patakatifu pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri mwaka 1930 na mtakatifu mwaka 1934.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Aprili[1].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.