Tofauti kati ya marekesbisho "Buibui-kofia"

Jump to navigation Jump to search
1,683 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Nyongeza spishi za Afrika
dNo edit summary
(Nyongeza spishi za Afrika)
 
| oda = [[Ricinulei]]
| familia = [[Ricinoididae]]
| bingwa_wa_familia = [[Henry Ellsworth Ewing|Ewing]], 1929
| subdivision = '''Jenasi 3; spishi 11 katika Afrika:<br>'''
* ''[[Cryptocellus]]''
* ''[[Cryptocellus]]'' <small>[[John Obadiah Westwood|Westwood]], 1874</small>
* ''[[Pseudocellus]]''
* ''[[Pseudocellus]]'' <small>[[Norman Ira Platnick|Platnick]], 1980</small>
* ''[[Ricinoides]]''
* ''[[Ricinoides]]'' <small>Ewing, 1929</small>
** ''[[Ricinoides westermannii|R. westermanni]]'' <small>([[Félix Édouard Guérin-Méneville|Guerin-Meneville]], 1838)</small>
** ''[[Ricinoides afzelii|R. afzelii]]'' <small>([[Tord Tamerlan Teodor Thorell|Thorell]], 1892)</small>
** ''[[Ricinoides atewa|R. atewa]]'' <small>[[Piotr Naskrecki|Naskrecki]], 2008</small>
** ''[[Ricinoides crassipalpe|R. crassipalpe]]'' <small>([[Hans Jacob Hansen|Hansen]] & [[William Sørensen|Sorensen]], 1904)</small>
** ''[[Ricinoides feae|R. feae]]'' <small>(Hansen, 1921)</small>
** ''[[Ricinoides hanseni|R. hanseni]]'' <small>Legg, 1976</small>
** ''[[Ricinoides karschii|R. karschii]]'' <small>(Hansen & Sorensen, 1904)</small>
** ''[[Ricinoides leonensis|R. leonensis]]'' <small>Legg, 1978</small>
** ''[[Ricinoides megahanseni|R. megahanseni]]'' <small>Legg, 1982</small>
** ''[[Ricinoides olounoua|R. olounoua]]'' <small>Legg, 1978</small>
** ''[[Ricinoides sjostedtii|R. sjostedtii]]'' <small>(Hansen & Sorensen, 1904)</small>
}}
'''Buibui-kofia''' (kutoka kwa [[Kiing.]] [[w:Ricinulei|hooded tickspider]]) ni [[arithropodi]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Ricinoididae]], familia ya pekee ya [[oda]] [[Ricinulei]] katika [[ngeli]] [[Arakinida|Arachnida]]. Jina lao linatoka kwa aina ya “kofia” ambayo wanaweza kutumia ili kufunika [[kichwa]], [[mdomo]] na [[kelisera]] ([[w:chelicerae|chelicerae]]). Kwa kawaida buibui-kofia wana urefu wa mm 5-10 na wanafanana na [[utitiri]]. Wataalamu wengine wanafikiri kwamba [[mdudu|wadudu]] hawa wana mnasaba na utitiri, lakini wengine wanafikiri kwamba wana mnasaba na oda ya zamani ya [[Trigonotarbida]] iliyokwisha sasa. [[Kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]) na [[fumbatio]] zimeungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija kama kwa [[Buibui (Arithropodi)|buibui]]. Lakini ukingo wa fumbatio unaingia katika kunjo la [[gamba]] ([[w:carapace|carapace]]). Wana [[mguu|miguu]] minane kama arakinida wengine lakini jozi ya pili ni mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasio|vipapasio]]. Hawana [[jicho|macho]] lakini spishi za zamani zilikuwa nayo na spishi za kisasa bado zina sehemu za kuhisi nuru. Mwenendo wa buibui-kofia haujulikani sana lakini inaonekana kwamba hula arithropodi wadogo kuliko hawa wenyewe.
 
==Spishi za Afrika==
{{Pendekezo-jina-mnyama}}
*''[[Ricinoides westermannii]]''
*''[[Ricinoides afzelii]]''
*''[[Ricinoides atewa]]''
*''[[Ricinoides crassipalpe]]''
* ''[[Ricinoides feae]]''
*''[[Ricinoides hanseni]]''
*''[[Ricinoides karschii]]''
*''[[Ricinoides leonensis]]''
*''[[Ricinoides megahanseni]]''
*''[[Ricinoides olounoua]]''
*''[[Ricinoides sjostedtii]]''
 
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = hooded tickspider | lugha = Kiingereza | maneno_ya_jaribio = buibui-kofia }}
 
[[Jamii:Buibui-kofia]]
11,791

edits

Urambazaji