Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Zoïsite (Tanzanite).jpg|thumb|200px|<center>Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
[[Image:Tanzanite taillée.jpg|thumb|200px|Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa]]
'''Tanzanaiti''' ''(Tanzanite)'' ni [[kito]] chenye [[rangi]] ya [[buluu]] hadi [[zambarau]] na [[kijani]]. Inachimbwa kaskazini mwa [[Tanzania]] tu.
'''Tanzanaiti''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Tanzanite'') ni [[kito]] chenye [[rangi]] ya [[buluu]] hadi [[zambarau]] na [[kijani]]. Inachimbwa [[kaskazini]] mwa [[Tanzania]] tu.


Kito hiki kinapendwa sana kimataifa; [[bei]] zake zilicheza kati ya [[Dola ya Marekani|dola za Marekani]] 250 na 500 kwa [[karati]] moja (=milli[[gramu]] 200).
Kito hicho kinapendwa sana kimataifa; [[bei]] zake zilicheza kati ya [[Dola ya Marekani|dola za Marekani]] 250 na 500 kwa [[karati]] moja (=milli[[gramu]] 200).


[[Kemia|Kikemia]] ni aina ya [[madini]] ya [[Zoiziti]] ambayo haina [[thamani]] kubwa vile katika [[umbo|maumbo]] mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha [[moto]] [[fuwele]] za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.
[[Kemia|Kikemia]] ni aina ya [[madini]] ya [[Zoiziti]] ambayo haina [[thamani]] kubwa vile katika [[umbo|maumbo]] mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha [[moto]] [[fuwele]] za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.


Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika [[milima]] ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]] na [[mji]] wa [[Arusha]]. Ili gunduliwa na mtanzania aitwaye Jumanne Mhero Ngoma mkoani Manyara. Manuel D'souza alituma Sampo hiyo kwa mwanageologia John saul ambaye ana cheo cha PhD kutoka chuo cha M.I.T, ambaye alituma Sampo hiyo kwababa yake, ika pelekwa havard University kwa wataalamu wa madini na kuthibitishwa kwamba ilikuwa ni kito cha Aina ya Zoizite.
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza [[mwaka]] [[1967]] katika [[milima]] ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]] na [[mji]] wa [[Arusha]]. Iligunduliwa na Mtanzania aitwaye Jumanne Mhero Ngoma [[Mkoa wa Manyara|mkoani Manyara]]. Manuel D'souza alituma sampuli hiyo kwa [[mwanajiolojia]] John Saul ambaye ana [[cheo]] cha [[PhD]] kutoka chuo cha M.I.T., ambaye alituma sampuli hiyo kwa baba yake, ikapelekwa Havard University kwa wataalamu wa madini na kuthibitishwa kwamba ilikuwa ni kito cha Aina ya Zoizite.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
Mstari 17: Mstari 17:
* [http://www.irinnews.org/Film/?id=4119 Gem Slaves - a short film from 2006 on tanzanite's child miners]
* [http://www.irinnews.org/Film/?id=4119 Gem Slaves - a short film from 2006 on tanzanite's child miners]
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)
{{mbegu-sayansi}}

[[Category:Madini]]
[[Category:Madini]]
[[Jamii:Tanzania]]
[[Jamii:Tanzania]]

Pitio la 08:36, 26 Juni 2020

Kito cha Tanzanaiti katika hali asilia
Tanzanaiti baada ya kukatwa na kung'arishwa

Tanzanaiti (kwa Kiingereza: Tanzanite) ni kito chenye rangi ya buluu hadi zambarau na kijani. Inachimbwa kaskazini mwa Tanzania tu.

Kito hicho kinapendwa sana kimataifa; bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milligramu 200).

Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.

Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka 1967 katika milima ya Mererani kwenye Wilaya ya Simanjiro, karibu na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na mji wa Arusha. Iligunduliwa na Mtanzania aitwaye Jumanne Mhero Ngoma mkoani Manyara. Manuel D'souza alituma sampuli hiyo kwa mwanajiolojia John Saul ambaye ana cheo cha PhD kutoka chuo cha M.I.T., ambaye alituma sampuli hiyo kwa baba yake, ikapelekwa Havard University kwa wataalamu wa madini na kuthibitishwa kwamba ilikuwa ni kito cha Aina ya Zoizite.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tanzanaiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.