Tofauti kati ya marekesbisho "Waiyaki wa Hinga"

Jump to navigation Jump to search
18 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Waiyaki wa Hinga''' alikuwa [[mpiganaji]] na kiongozi wa [[Wakikuyu]] (''mũthamaki'') katika [[Kaunti ya Kiambu|Kabete ya kale]]<ref name=":2">{{Cite web|url=https://www.nation.co.ke/lifestyle/dn2/Andrew-Kuria-Waiyaki-wa-Hinga/957860-2441040-daot43z/index.html|title=122 years later, family seeks hero’s burial for Waiyaki wa Hinga|language=en|work=nation.co.ke|accessdate=2018-10-17}}</ref>. Aliongoza vita dhidi ya [[Wamasai]] na uasi dhidi ya [[wakoloni]]<ref name=":0">{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=H5cQH17-HnMC&pg=PA905&dq=waiyaki+wa+hinga&hl=sw&sa=X&ved=0ahUKEwig1YLEio3eAhVlx4UKHcyFDhgQ6AEIJDAA#v=onepage&q=waiyaki%20wa%20hinga&f=false|title=Holy People of the World: A Cross-cultural Encyclopedia|last=Jestice|first=Phyllis G.|date=2004|publisher=ABC-CLIO|year=|isbn=9781576073551|location=|pages=905-906|language=en}}</ref>. AlikufaAlifariki mwaka 19821892, akiwa mikononi mwa wakoloni.
 
== Maisha ==
 
=== Kuzikwa ===
Haijulikani bayana kilichomfanyikia alipokuwa katika msafara, ila tu hakuweza kuendelea na safari alipofika [[Kibwezi]]. Baadhi ya vyanzo husema kuwa msafara ulipofika Kibwezi, Waiyaki hangeweza kuendelea kwa kuwa alikuwa na majeraha mabaya kichwani<ref name=":4" />. Wengine husema kuwa alipigwa risasi. Rekodi rasmi zinaonyesha kuwa aliachwa katika hospitali ya misheni ambapo alifariki na akazikwa makaburini ya hospitali hiyo<ref name=":3" /><ref name=":2" />. Vyanzo vingine husema kuwa alizikwa hai, Agosti 17, mwaka 18911892<ref name=":1" /><ref name=":4" /><ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=G0lBfbmYRf0C&pg=PA119&dq=waiyaki+wa+hinga+buried+alive&hl=en&sa=X&ved=0ahUKEwiH8NO_zI3eAhXMFsAKHSjcBuQQ6AEILTAB#v=onepage&q=waiyaki%20wa%20hinga%20buried%20alive&f=false|title=Africa and the West: From colonialism to independence, 1875 to the present|last=Worger|first=William H.|last2=Clark|first2=Nancy L.|last3=Alpers|first3=Edward A.|date=2010|publisher=Oxford University Press|year=|isbn=9780195373134|location=|pages=119|language=en}}</ref>.
 
== Marejeo ==
[[Jamii:Historia ya Kenya]]
[[Jamii:Wakikuyu]]
[[Jamii:Waliofariki 1892]]
285

edits

Urambazaji