Kibwezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibwezi



Kibwezi
Nchi Kenya
Kaunti Makueni
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,695

Kibwezi ni mji wa Kenya Mashariki, kaunti ya Makueni. Wanaoishi mjini ni watu 4,695, lakini kata nzima inao 80,236.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]