Dolar ya Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Benknoti
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Dola ya Marekani]]
[[Picha:USCurrency Federal Reserve.jpg|thumb|right|250px|Noti za Dola ya Marekani.]]
'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', kifupi '''USD''') ni [[pesa]] halali ya [[Marekani]]. [[Alama]] yake ni USD au mara nyingi alama ya [[dola (pesa)|dola]] tu '''$'''.
'''Dola ya Marekani''' ('''US-Dollar''', [[kifupi]] '''USD''') ni [[pesa]] halali ya [[Marekani]]. [[Alama]] yake ni '''$'''.


Dola ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.
[[Dolar (pesa)|Dola]] ya Marekani inapatikana kwa [[benknoti|noti]] za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia [[sarafu]] ya dola 1.


Dola moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za [[nusu]] dola (half dollar, senti 50), [[robo]] dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).
Dola moja ina [[senti]] 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za [[nusu]] dola (half dollar, senti 50), [[robo]] dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).
Mstari 10: Mstari 10:
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa [[uchumi]] na thamani ya [[bidhaa]] zilizopo nchini.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa [[uchumi]] na thamani ya [[bidhaa]] zilizopo nchini.


Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ([[1945]]) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu [[duniani]] na sehemu kubwa ya [[biashara]] ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole.
Tangu mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] ([[1945]]) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu [[duniani]] na sehemu kubwa ya [[biashara]] ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Lakini tangu kupatikana kwa [[Euro]] mwaka [[1999]] umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dola ya Marekani tu, k.mf. [[El Salvador]].


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{Commonscat|Money of the United States|Dolar ya Marekani}}
* [http://www.bis-ans-ende-der-welt.net/USA-B-En.htm Dolar ya Marekani (Benknoti na historia)] {{en}} {{de}} {{fr}}
* [http://www.bis-ans-ende-der-welt.net/USA-B-En.htm Dolar ya Marekani (Benknoti na historia)] {{en}} {{de}} {{fr}}


{{mbegu-uchumi}}
{{Commonscat|Money of the United States|Dolar ya Marekani}}

[[Jamii:Marekani]]
[[Jamii:Marekani]]
[[Jamii:Pesa]]
[[Jamii:Pesa]]

Pitio la 08:03, 3 Agosti 2018

Noti za Dola ya Marekani.

Dola ya Marekani (US-Dollar, kifupi USD) ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.

Dola ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.

Dola moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dola (half dollar, senti 50), robo dola (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).

Hadi mwaka 1969 noti ya dola ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.

Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini.

Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1945) dola ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dola ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dola ya Marekani tu, k.mf. El Salvador.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dolar ya Marekani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.