Lobengula
Mandhari
Lobengula Khumalo (Septemba 1845 - Januari 1894) alikuwa mfalme wa pili na wa mwisho wa Wandebele (tawi la Wazulu katika nchi ambayo leo inaitwa Zimbabwe)
Jina "Lobengula" linamaanisha "Aliyekuwa mgonjwa".
Wazazi
[hariri | hariri chanzo]Baba yake alikuwa Mzilikazi, ambaye alimtangulia Lobengula kama mfalme wa Wandebele[1].
Mama yake Lobengula alikuwa mke mdogo kwenye boma ya Mzilikazi, na Lobengula aliweza kumrithi baba yake kwa umaarufu wake katika vita.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Hensman, Howard (1900). A History of Rhodesia (PDF). W. Blackwood and Sons.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Burnham, Frederick Russell (1926). Scouting on Two Continents. Doubleday, Page.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Wills, W. A.; Collingridge, L. T. (1894). The Downfall of Lobengula: The Cause, History, and Effect of the Matabeli War. "The African review" offices.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - "LOBENGULA IN A TRAP.; Not Believed that the Matabele King Can Escape". The New York Times. 3 Novemba 1893. Iliwekwa mnamo 2016-08-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - "SOUTH AFRICA: The Skull of Lobengula". TIME.com. 10 Januari 1944. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)