Lobengula
Lobengula Khumalo (Septemba 1845 - Januari 1894) alikuwa mfalme wa pili na wa mwisho wa Wandebele (tawi la Wazulu katika nchi ambayo leo inaitwa Zimbabwe)
Jina "Lobengula" linamaanisha "Aliyekuwa mgonjwa".
Wazazi[hariri | hariri chanzo]
Baba yake alikuwa Mzilikazi, ambaye alimtangulia Lobengula kama mfalme wa Wandebele[1].
Mama yake Lobengula alikuwa mke mdogo kwenye boma ya Mzilikazi, na Lobengula aliweza kumrithi baba yake kwa umaarufu wake katika vita.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Hensman, Howard (1900). A History of Rhodesia. W. Blackwood and Sons.
- Burnham, Frederick Russell (1926). Scouting on Two Continents. Doubleday, Page.
- (1894) The Downfall of Lobengula: The Cause, History, and Effect of the Matabeli War. "The African review" offices.
- LOBENGULA IN A TRAP.; Not Believed that the Matabele King Can Escape.. The New York Times (3 November 1893). Iliwekwa mnamo 2016-08-18.
- SOUTH AFRICA: The Skull of Lobengula (10 January 1944). Iliwekwa mnamo 18 August 2016.