Leodegari wa Autun
Mandhari
(Elekezwa kutoka Leodegar wa Autun)
Leodegari wa Autun (kwa Kilatini: Leodegarius; kwa Kifaransa: Léger; Autun, Saône-et-Loire, 615 hivi – Sarcing, Somme, Picardie, 2 Oktoba 679) alikuwa askofu wa Autun, leo nchini Ufaransa, mtoto wa mtakatifu Sigrada [1][2].
Kwa kuwa alimpinga Ebroini, mkuu wa ikulu ya mfalme Theodoriki III, aliyetaka kupindua utawala wa ukoo wa Wamerovinji, aliteswa kikatili, akapofushwa akauawa[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3]. Pamoja naye anaheshimiwa ndugu yake Warinus aliyeuawa na Ebroini miaka miwili kabla yake kwa kupigwa mawe [4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Butler, Rev. Alban. "The Lives of the Saints, Volume X: October". St. Leodegarius, or Leger, Bishop and Martyr. bartleby.com. Iliwekwa mnamo Juni 28, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90609
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90284
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]Vyanzo vikuu
[hariri | hariri chanzo]- Liber Historiae Francorum, edited by B. Krusch, in MGH SS rer. Merov. vol. ii.
- Passio Leudegarii I & II, edited by B. Krusch and W. Levison, in MGH SS rer. Merov. vol v.
- Vita sancti Leodegarii, by Ursinus, then a monk of St Maixent (Migne, Patrilogia Latina, vol. xcvi.)
- Vita metrica in Poetae Latini aevi Carolini, vol. iii. (Mod. Germ. Hist.)
- Epistolae aevi Merovingici collectae 17, edited by W. Gundlach, in MGH EE vol iii.
Vyanzo vingine
[hariri | hariri chanzo]- J. Friedrich, Zur Geschichte des Hausmeiers Ebroin, in the Proceedings of the Academy of Munich (1887, pp. 42–61)
- J. B. Pitra, Histoire de Saint Léger (Paris, 1846)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |