Kwakoa
Kwakoa ni kata ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,359 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,717 [2] walioishi humo. Wengi wao ni wakulima na wafugaji, mbali ya wafanyabiashara wadogo.
Kwakoa imezungukwa na milima pande zote kiasi kwamba hufanya mji kuwa kivutio cha pekee kwa muonekano, lakini ina bonde kubwa la ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo cha miwa, mpunga, mahindi, mtama, minazi, korosho, maembe, viazi vitamu na viazi mbatata, karanga, mboga za majani na aina mbalimbali za matunda.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-27.
Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ||
---|---|---|
Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kwakoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|