Kresenti wa Karthago
Mandhari
Kresenti wa Karthago (alifariki 484) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki katika mji wa Karthago (Tunisia ya leo).
Aliuawa katika dhuluma ya Huneriki, mfalme wa Wavandali pamoja na Fidelis, Felisi na wenzao.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Machi[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |