Konrad wa Parzham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Konrado wa Parzham)
Jump to navigation Jump to search

Konrad wa Parzham O.F.M. Cap. ni jina la kitawa la Yohane Birndorfer, ambaye alizaliwa Bad Griesbach, Passau, Ufalme wa Bavaria, leo nchini Ujerumani mwaka 1818, akafariki Altötting, Bavaria, 1894.

Alikuwa bruda wa shirika la Wakapuchini na kufanya kazi ya bawabu kwenye patakatifu pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri mwaka 1930 na mtakatifu mwaka 1934.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konrad wa Parzham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.