Kiki Omeili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Omeili (2014)

Nkiruka 'Kiki' Omeili (alizaliwa Lagos, 31 Mei 1986) ni mwigizaji wa kike kutoka Nigeria, maarufu kwa jina la Lovette katika tamthilia ya Lekki Wives.[1]; pia ameigiza katika filamu ya Gbomo Gbomo Express akicheza pamoja na Gideon Okeke.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Omeili ni mtoto wa pili kati ya wanne wa Charles Maureen Omeili. Baba yake alikuwa mfanyakazi wa benki katika First Bank of Nigeria na alistaafu akiwa kama Meneja mkuu wa benki. Mama yake alikuwa akifanya kazi gerezani katika mji wa Ibadan, Oyo State, Nigeria.

Omeili alianza sanaa ya maigizo akiwa shule ya msingi na shule ya upili na aliendelea na sanaa ya maigizo hadi alipofika chuo kikuu na alikuwa mwanachama wa klabu ya waigizaji huku akishiriki mashindano mbalimbali. Mwaka 2006, alipata shahada ya tiba katika chuo kikuu cha Lagos.[2]

Kazi za Utu[hariri | hariri chanzo]

Omeili amekua akijihusisha na masuala mbalimbali za kusaidia watu akishirikiana na shirika la Project Pink Blue. Aliongoza matembezi ya kuhamasisha utambuzi wa saratani akisaidia mashirika yasiyo ya kiserikali kutafuta fedha na kuhamasisha utambuzi juu ya saratani hasa kwa kutumia mitandao ya kijamii.[3][4][5]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tukio Tuzo Aliepokea Matokeo
2012 Tuzo za filamu za Afrika[6] Muigizaji bora wa kike – Mhusika msaidizi katika filamu ya Kiingereza(Married but Living Single) Kiki Omeili Kigezo:Mshindi
2014 Tuzo za ELOY[7] Muigizaji bora wa kike katika filamu za televisheni (Lekki Wives) Hakuna taarifa Kigezo:Mshiriki
2015 Tuzo za GIAMA 2015[8] Muigizaji bora wa kike - Mwanamke (Sting - The Movie) Kiki Omeili Kigezo:Mshindi
Katika tamasha za filamu fupi[9] Muigizaji bora wa kike - Mwanamke (Deluded - Short Film) Kiki Omeili Kigezo:Mshindi
2016 City People Entertainment Awards Muigizaji bora msaidizi wa kike Kiki Omeili Kigezo:Mshindi
Lagos 30 tuzo za wenye umri chini ya miaka 40 Muigizaji bora wa kike - English Kiki Omeili Kigezo:Mshindi
FilmFest International Awards (Berlin 2016) Muigizaji bora wa kike katika filamu fupi Kiki Omeili Kigezo:Mshiriki

Kazi za Sanaa[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Uhusika Muongozaji Maelezo
2011 Behind the Smile Debbie Tunde Olaoye Muigizaji mkuu
2011 Nowhere to be Found Dr. Grace Niji Akanni Maonyesho ya Televisheni
2011 Footprints Edna Jerry Isichei Mhusika Msaidizi/Maonyesho ya Televisheni
2012 Married but Living Single Titi Haastrup Tunde Olaoye Filamu aliyoshiriki
2012 NESREA Watch Mrs. Irabor Paul Adams Tamthilia ya Televisheni
2012 Binding Duty Njide Ihria Enakimio Maigizo ya Televisheni
2012 The Valley Between Nikki Tunji Bamishigbin Mhusika Msaidizi/Maonyesho ya Televisheni
2012 Gidi Culture Mariam Tunde Anjorin Mhusika Msaidizi
2012 A Mother's Fight Uru Flo Smith Mhusika Msaidizi/Imeandaliwa na Uche Jombo
2012 Lekki Wives Lovette Blessing Effiom Egbe Mhusika Mkuu
2013 Kpians: The Feast of Souls Kiki Ofili Stanlee Ohikhuare Filamu ya kutisha akimshirikisha Ashionye Ugboh-Raccah
2013 Consenting Adults Seun Soji Ogunnaike Filamu aliyoshiriki; mhusika mkuu Nomoreloss
2013 24/7 Barrister Ekanem Efetobore Ayeteni Filamu aliyoshiriki wahusika wakuu wakiwa ni IK Osakioduwa, Eku Edewor na Wole Ojo
2013 Oblivious Lucy Stanlee Ohikhuare Filamu aliyoshiriki
2013 Lekki Wives (Season 2) Lovette Blessing Effiom Egbe Mhusika Mkuu/Maonyesho ya Televisheni
2013 Sting Ada Stanlee Ohikhuare Filamu aliyoshiriki
2013 The Glass House Ese Jerry Isichei Filamu aliyoshiriki
2014 The Antique Isoken Darasen Richards Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Olu Jacobs, Bimbo Akintola na Judith Audu
2014 Same Difference Nonye Ehizojie Ojesebholo Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Ricardo Agbor na Daniel K Daniel
2014 A Dead End Biola Ehizojie Ojesebholo Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Barbara Sokky, Seun Akindele na Uche Anyamele
2014 Next Door to Happiness Tinuke Uzodimma Okpechi Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Frederick Leonard
2014 A Place Called Happy Teni LowlaDee Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Blossom Chukwujekwu
2014 Friends na Lovers Jenny Yemi Morafa Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Deyemi Okanlawon
2014 +234 Sandra Lawson Soji Ogunnaike Drama Series mhusika mkuu akiwa Tosyn Bucknor, Tope Tedela na Anthony Monjaro
2015 Gbomo Gbomo Express Blessing Walter Taylour Filamu aliyoshiriki - mhusika mkuu akiwa Ramsey Nouah
2015 Jimi Bendel T-boy Ehizojie Ojesebholo Action Comedy film[10]
2016 Fast Cash - Okey Zubelu Okoh Filamu aliyoshiriki - mhusika mkuu akiwa Mary Lazarus, Oma Nnadi, Funnybone
2016 What Makes You Tick - Efetobore Ayeteni Filamu aliyoshiriki - mhusika mkuu akiwa Seun Akindele, Mary Lazarus, Wole Ojo, Toyin Abraham
2016 Iterum Ireti Stanlee Ohikhuare Filamu fupi iliyoonyeshwa huko Paris Ufaransa 2016 Fast Cash Okey Zubelu Filamu aliyoshiriki
2016 Blame It on Me - Ikechukwu Onyeka Filamu aliyoshiriki
2016 The Happyness Limited - Imoh Umoren Filamu aliyoshiriki
2016 Double bind Lead Emmanuel Akaemeh Filamu aliyoshiriki featuring Ifeanyi Kalu, Ujams Cbriel, Mary Chukwu
2016 This Thing Called Marriage - Blessing Egbe Filamu aliyoshiriki
2016 Moth To A Flame[11] Joan One Soul Filamu aliyoshiriki - Femi Jacobs, Shaffy Bello, Paul Utomi
2017 Echoes of Silence - Okey Ifeanyi Filamu aliyoshiriki
2017 Low lives na High Hopes - Frankie Ogar Filamu aliyoshiriki
2017 Light in the Dark - Ekenem Ekwunye Filamu aliyoshiriki
2017 What Lies Within[12] Miss Dimeji Vanessa Nzediegwu Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Michelle Dede, Tope Tedela, Paul Utomi
2017 Sunday na Lolade Lolade Yomi Black Filamu ya vichekesho
2017 Public Property Tope Alake & Ashionye Mihcelle Raccah Filamu aliyoshiriki
2019 Run Tomi Uche Chukwu Filamu aliyoshiriki, imeandaliwa na Kiki Omeili

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Agbo, Dennis. "Lekki Wives makes Debut", National Mirror, 3 February 2013. Retrieved on 14 November 2013. Archived from the original on 2013-02-06. 
  2. LASIS, AKEEM (12 May 2012). "Kiki Omeili: From Lab Coat to Costumes". The Punch Newspaper. Lagos, Nigeria. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-28. Iliwekwa mnamo 2020-10-31.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Why I left Medicine for acting – Kiki Omieli", Premium Times Nigeria, December 24, 2016. Retrieved on 28 December 2017. 
  4. "Annie Idibia, Moc Madu, Kiki Omeili, Debbie Collins led Pink October Walk against Breast Cancer in Lagos", Wives Town Hall Connection, October 9, 2016. Retrieved on 28 December 2017. 
  5. "Project PINK BLUE hosted Pink October Walk in support of International Breast Cancer Awareness Month with 5 Cancer Survivors, Kiki Omeili & Yvonne Jegede in Attendance", Bellanaija, October 10, 2017. Retrieved on 28 December 2017. 
  6. Opurum, Nkechi. "Tonto Dikeh, Kiki Omeili Win Afro-Hollywood Awards", Daily Times Nigeria, 23 October 2012. Retrieved on 1 November 2012. Archived from the original on 2012-11-10. 
  7. "Seyi Shay, Toke Makinwa, Mo’Cheddah, DJ Cuppy, Others Nominated". Pulse Nigeria. Chinedu Adiele. Iliwekwa mnamo 20 October 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "GIAMA 2015: Eniola Badmus, Jim Iyke, Uche Jombo win big". Pulse Nigeria. Chidumga Izuzu. Iliwekwa mnamo 19 October 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Kiki Omeili Is In-short Film Festival Best Actress". ngrguardiannews.com. The Guardian Newspaper. Iliwekwa mnamo 24 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. ""Jimi Bendel" Watch Kiki Omeili, Ijeoma Agu, Gregory Ojefua in trailer". Pulse.ng. Chidumga Izuzu. Iliwekwa mnamo 2 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  11. http://www.talkafricanmovies.com/moth-to-a-flame/
  12. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-16. Iliwekwa mnamo 2021-01-16. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiki Omeili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.