Daniel K Daniel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel K Daniel

Daniel K. Daniel mnamo mwaka 2018
Amezaliwa 22 Mei 1986 (1986-05-22) (umri 37) Maiduguri, Nigeria
Jina lingine DKD
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 2009-hadi sasa
[danielkdaniel.com Tovuti rasmi]

Daniel Kanayo Daniel (alizaliwa 22 Mei 1986 ) ni muigizaji wa filamu na maigizo wa kwenye runinga wa Nigeria, na mtia sauti katika filamu,akijulikana zaidi katika filamu yaBossman [1][2] filamu ya mwaka 2015 ilishinda tuzo ya Africa Magic Viewers' Choice Awards mwaka 2016 (AMVCA) na tuzo ya Africa Movie Academy Awards (AMAA) kama muigizaji bora wa kiume ,[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Daniel K Daniel, Tope Tedela, Linda Ejiofor star in upcoming film". Pulse Nigeria (kwa en-US). 2015-06-01. Iliwekwa mnamo 2020-08-27. 
  2. "A Soldier’s Story – Featuring Linda Ejiofor, Tope Tedela, Adesua Etomi, Daniel K Daniel". Pride Magazine Nigeria (kwa en-GB). 2015-10-10. Iliwekwa mnamo 2020-08-27. 
  3. "‘76 the Movie - a story of love, honour and bullets'". Businessday NG (kwa en-US). 2016-06-23. Iliwekwa mnamo 2020-08-27. 
  4. Kenechukwu, Nwaezuoke (2016-11-20). "76: The Greatest Nigerian Movie Ever!". Medium (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-27. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel K Daniel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.