Kibondo (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa Kibondo (maana)

Kibondo
Kibondo is located in Tanzania
Kibondo
Kibondo
Mahali pa Kibondo katika Tanzania
Majiranukta: 3°35′2″S 30°43′5″E / 3.58389°S 30.71806°E / -3.58389; 30.71806
Nchi Tanzania
Mkoa Kigoma
Wilaya Kibondo
Idadi ya wakazi
 - 39,300
Chuo cha Uuguzi Kibondo

Kibondo ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Kibondo katika Mkoa wa Kigoma (Tanzania). Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 39,300 waishio humo.[1] Mji uko kilomita 270 kazkazini ya Kigoma karibu na mpaka wa Burundi.

Wenyeji wa Kibondo ni hasa Waha.

Baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe ya 1993 nchini Burundi wakimbizi wengi walifika Uha na kambi kubwa ilijengwa kando la mji wa Kibondo. Kambi hili lilikuwa na Waburundi 25,000 waliokuwa zaidi ya robo ya wakimbizi wote kutoka Burundi nchini Tanzania. Kambi hili lilileta biashara mjini lakini pia matatizo mbalimbali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kibondo - Mkoa wa Kigoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bitare | Bunyanbo | Busagara | Busunzu | Itaba | Kibondo | Kitahana | Kizazi | Kumsenga | Mabamba | Misezero | Murungu | Rugongwe


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kibondo (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.